nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,928
- 5,770
Kwa ujinga wangu mimi nawaza tu. Kuna dhambi gani kwa Zitto kutokukubaliana na Mnyika? Kwan mapendekezo ya Mnyika ndio yapo sahihi kwa asilimia mia kuliko ya Zitto?
Ifikie mahali watanzania tuache mihemko ya kipumbavu, ifike mahali tukubali kukubaliana na tukubali kutokukubaliana
Ifikie mahali watanzania tuache mihemko ya kipumbavu, ifike mahali tukubali kukubaliana na tukubali kutokukubaliana