Zitto apingana na Mnyika na Lema

Zitto apingana na Mnyika na Lema

Watasema ni Msaliti

Zitto Jembe

Mkuu vipi ile 108t vipi, inakuja? Wife anasumbua kila siku driving school. Wewe ndio nakuaminia na hata mawazo yako yako sahihi, je rais aongezewe miaka mingapi, na akifa unaonaje tumpe mkewe, mtoto au mjukuu wake?
 
Zitto ni mwanaccm mtiifu kama alivyo mwenyekiti wake ambaye kaula u RC na kitila alieula ukatibu wa wizara.
 
Zitto ni mwanaccm mtiifu kama alivyo mwenyekiti wake ambaye kaula u RC na kitila alieula ukatibu wa wizara.
 
Bila kufanya hivyo anaishi vipi wakati tukumbuke kutumika mwisho wake ni ukweli kutamalaki
 
Usiseme Zitto apingana na Mnyika na Lema, bali sema Lema na Mnyika wapinganana na Zitto!! Maana Zitto mmoja ni sawa na Kamati kuu yote ya CDM
Lazima ranking yake muweke hivo maana nivibaraka wenu...Zitto ,Lipumba n.k
 
...
Kwamba huo mswada wa madini kwa dharura ndio utakao okoa mashimo yaliyobaki tupu na ukiwa sheria hapo hapo yatajaa dhahabu?....
Kila kitu kina faida na hasara....faida ya mashimo yale ...ni kuturahisishia sehemu za kujaribu TSAR zetu siku za usoni! (definitely joking)
===
Zitto kwenye siasa ashushwe cheo...kwingine aendelee kuangaliwa kwa macho 'matano'!
 
Umemuelewa alichoeleza hapa au umependa kutuonyesha tuone upande ulipo?
Wewe ulitaka asemaje?
ACT ni chama kinachojitambua na kina watu makini, huwezi fananisha na hao unaowaamini wewe.
Zitto yuko upande wa maCCM. Hivi alishatoa ufafanuzi kuhusu uteuzi wa mwenyekiti wake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro?
 
Back
Top Bottom