Zitto apingana na Mnyika na Lema

Zitto apingana na Mnyika na Lema

Nashangaa chama cha AC Wazalendo ni kidogo lakini well organized.
Chadema ni chama kikubwa ni vurugu na matusi tu na ni very disorganized
 
Zitto anajielewa sn,ila inatakiwa ifike mahali watanzania tufanye utafiti na kusoma vitu kwa undani kuliko kusoma heading na kutoa conclusions. Ukiiangalia miswada pendekezwa na ukaisoma,kama kweli unauchungu na nchi hii na unaitakia mema nchi yetu kwa kizazi hii na kizazi kijacho basi unapoipinga utakuwa unaajenda yako mwenyewe ambayo mtu mwenye akili timamu yeyote atakushanga..
Ukiangalia miswada hii imebeba mapendekezo yote ya kamati zote ambazo ziliundwa kuchunguza suala la madini mpaka hii ya juzi iliyoundwa na Mh Rais Magufuli..
Nikweli tunaweza kuwa na sheria mzuri lakini viongozi wenye dhamana wakatuuza pia, Ila ni Bora zaidi kuwa na sheria kali ambazo zitawabana viongozi kuliko sheria dhaifu zenye mianya mingi ya upigani..

Asante...Ni maoni yangu nawala si msimamo wa mtu yeyote..
 
Je, ni kweli kuwa hizi sheria hzitagusa mikataba ambayo serikali na hawa wawekezaji wameshatiliana saini huko mwanzo!?
 
Zitto anajielewa sn,ila inatakiwa ifike mahali watanzania tufanye utafiti na kusoma vitu kwa undani kuliko kusoma heading na kutoa conclusions. Ukiiangalia miswada pendekezwa na ukaisoma,kama kweli unauchungu na nchi hii na unaitakia mema nchi yetu kwa kizazi hii na kizazi kijacho basi unapoipinga utakuwa unaajenda yako mwenyewe ambayo mtu mwenye akili timamu yeyote atakushanga..
Ukiangalia miswada hii imebeba mapendekezo yote ya kamati zote ambazo ziliundwa kuchunguza suala la madini mpaka hii ya juzi iliyoundwa na Mh Rais Magufuli..
Nikweli tunaweza kuwa na sheria mzuri lakini viongozi wenye dhamana wakatuuza pia, Ila ni Bora zaidi kuwa na sheria kali ambazo zitawabana viongozi kuliko sheria dhaifu zenye mianya mingi ya upigani..

Asante...Ni maoni yangu nawala si msimamo wa mtu yeyote..
Mnakosea kitu kimoja-ni nani aliyepinga hiyo miswada? Tatizo la Zitto ni ubinafsi uliopitiliza. Ukimsikiliza kwenye hiyo clip unaweza kuelewa. 1. Zitto ametumia muda wake mwingi katika kipindi chake cha ubunge akijihusisha na masuala haya ya mikataba ya madini, kwa ubinafsi wake, hataki kuona hoja ya kwamba kuna wabunge ndio mara ya kwanza wanakutana na haya mambo. Ilimradi yeye ana taarifa nyingi kuhusu sheria zinazohusu eneo hilo anawaona wale ambao wanahitaji kutumia muda wa kutosha kuipitia na kuijadili, ni wapuuzi au wanaokwamisha? 2. Zitto anafahamu kwamba Kamati nyingi zilizoundwa zilikuja na mapendekezo ambayo mengi yameingizwa kwenye miswada iliyowasilishwa bungeni, lakini anataja Kamati ya Bomani peke yake (ambayo yeye alikuwa mjumbe) kuwa mapendekezo yake yameingizwa kwenye miswada hiyo!
3. Zitto anadai mapendekezo ya chama chao kuhusu miswaada ya sheria iliyowasilishwa bungeni wameyasambaza sehemu mbalimbali ikiwemo kwa wananchi (eti ili washiriki kutunga sheria hizo mpya), sasa kwa kuwa yeye anauelewa mpana zaidi kuhusu sheria hizo, bado haoni kama hao wananchi wanahitaji kupata muda wa kutosha kuipitia! Huu ni ubinafsi mkubwa, na ndicho humgharimu sana kwenye harakati zake za kisiasa!
 
Ulipendekeza aelekee wapi ili uone anamuelekeo mzuri?
Huwa anajipambanua Kama mtu makini lkn hakuna kitu. Anatamaa ya pesa na umaarufu na Hana msimamo katika maamuzi. Ni dharura gani inayofanya sheria hizi zibadilishwe haraka haraka,kwanini usitolewe muda wakutosha zikapitiwa na kuboreshwa zaid (Kama ni bora). Huyu alipokuwa PAC ndipo nchi hii iligeuzwa shamba labb haswaa na hakusimama kidete kulikomboa taifa zaidi ya kutafuta umaarufu binafsi!
inaonesha ww ni kibaraka Wake nahivyo huwezi kuona chochote kwakuwa amekulefya...pole
 
Wazee,kuwa kwako mpinzani au chama tawala kusikufanye ufikirie 'kinyume na maumbile'kama ni hoja kwa manufaa ya maendeleo endelevu ya taifa letu hatuna budi (ukweli ni mchungu kuumeza,ila mtamu kuusema)
 
Akiwa upande wenu mnamsifia, akitoa mawazo mbadala msaliti bora mimi nlishaamini kuwa Zitto siyo kuliko nyie wa ufipa mnaeishi kama bendera
 
Chadema mkitaka kujua nyie wa hovyo sikilizeni zile kauli zenu za kumtukana Lowassa then mjitafakari, na Zitto mjue anachosema
 
Na inaonesha wewe ni adui yake that is why unamchukia.
Hongera.
Unafaham huu mjadara wa madini umeanza mwaka gani?
Ni tume ngapi ziliundwa kuchunguza na kupendekeza sheria za madini?

Inawezekana hukumuelewa alichozungumza. Na hili siyo tatizo lako ila ni ile chuki uliyopandikizwa juu yake.

Ni vema tuwe tunasikiliza nini kinazungumzwa kuliko nani anazungumza.
Hii itatusaidia kutokuwa na negative views before listen what has been spoken.

Huwa anajipambanua Kama mtu makini lkn hakuna kitu. Anatamaa ya pesa na umaarufu na Hana msimamo katika maamuzi. Ni dharura gani inayofanya sheria hizi zibadilishwe haraka haraka,kwanini usitolewe muda wakutosha zikapitiwa na kuboreshwa zaid (Kama ni bora). Huyu alipokuwa PAC ndipo nchi hii iligeuzwa shamba labb haswaa na hakusimama kidete kulikomboa taifa zaidi ya kutafuta umaarufu binafsi!
inaonesha ww ni kibaraka Wake nahivyo huwezi kuona chochote kwakuwa amekulefya...pole
 
Umemuelewa alichoeleza hapa au umependa kutuonyesha tuone upande ulipo?
Wewe ulitaka asemaje?
ACT ni chama kinachojitambua na kina watu makini, huwezi fananisha na hao unaowaamini wewe.

Zitto alishafafanua uteuzi wa Mwenyekiti wa chama chake kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro?
 
Nyie huwa hamchelewi kumvua MTU gwanda akiwapinga, so mulisema zitto kamanda mzuri?

Alishafafanua uteuzi wa Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro? Zitto mjanja sana. Alijua mara moja watu watasahau. Nasikia walikubaliana na JPM kabisa. Kwani ulishasikia maCCM yakipambana na Zitto kama yanavyopambana na Lissu?
 
Je Wewe uliye Upande wa Ma Chadema yako, ulishahoji juu ya Uteuzi wa wabunge wa kuteuliwa "mabebi" ?

Sijawahi. Je huo ndio ufafanuzi wa Zitto juu ya uteuzi wa Mwenyekiti wa Chama chake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro?
 
Are you serious?

Chama kimekaa kikao kimekuja na tamko, wewe upo wapi?
It seems upo mbali sana na vyombo vya habari.
Sijawahi. Je huo ndio ufafanuzi wa Zitto juu ya uteuzi wa Mwenyekiti wa Chama chake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro?
 
Hiv kipindi kile Zito anasema Serikali itangaze kuna njaa alikuwa ana tumiwa na ccm? Wakat anasema bunge liwe live alikuwa anatumiwa na ccm? Hebu mjifunze kutumi vichwa japo kidogo.
 
Back
Top Bottom