simpasa 202
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 297
- 202
Bongo kuna siasa za moon soon wind aiseeee
Zitto ataficha wapi uso wake?[/
QUOTE]
Ndo hivo maana hata wadhifa wake ni kuwa yey ni kiongozi mkuu wa chama,,, licha ya kuwa kuna mwenykiti wa chamaHivi hii ACT ni ya Zitto mwenyewe?
Usiseme Zitto apingana na Mnyika na Lema, bali sema Lema na Mnyika wapinganana na Zitto!! Maana Zitto mmoja ni sawa na Kamati kuu yote ya CDM
Zitto nimtu asiye na uelekeo,hafai kuwa kiongozi
Watasema ni Msaliti
Zitto Jembe
Zitto ni kati ya wanasiasa vuguvugu nchi hii sijawah ona....
Jamaa anakaa katikati siku zote kama popo....
Kwamba huo mswada wa madini kwa dharura ndio utakao okoa mashimo yaliyobaki tupu na ukiwa sheria hapo hapo yatajaa dhahabu?
Haya madinu yakiwa yanazungumziwa utadhani watakaochimba ni wananchi...
Uende ukawaite mabeberu hayo hayo yaje yachimbe na wawapangie bei.....waaoh.!
Kiukweli mihemko ya nationalism kwa sasa haina tija yeyote zaidi ya kutafuta kiki za kisiasa...
Huyo Zitto ni mnufaikaji mkubwa wa haya mambo na leo anasema taifa limepata mkombozi..
Hongera wakombozi
Zitto ni CCM C baada ya Lipumba
Zitto ni mwanakitengo idara ya economic sabotage .
Tatizo lenu huwa mnapiga kelele sana kuhusu Demokrasia lakin inaonekana hamjui Maana yake!Zitto ni mwanakitengo idara ya economic sabotage .
Kwani hapo amepinga au ametoa mawazo ya chama chake? Naona mmebeba heading tu bila kusikiliza alicho sema.
Upinzani sio kupinga kila kitu acheni ushamba
Kuna watu kazi yao ni kuchukia/ kupinga kila kitu, si kwamba vyote ni vibaya, lakin kwa sababu mtu/chama flan kasema au kafanya, Mungu tubariki wazidi kuumia zaidi.
Jamaa ni kinyonga...hubadili rangi kutokana na mazingira![]()
Sio ya Lowassa ni ya law AssaAct ni ya lowassa!
"Kitengo" ..hili neno nalipenda sana hili neno mzee Kingunge analifahamu sana hiliZitto ni mwanakitengo idara ya economic sabotage .