Zitto apingana na Mnyika na Lema

Zitto apingana na Mnyika na Lema

Zitto yuko upande wa maCCM. Hivi alishatoa ufafanuzi kuhusu uteuzi wa mwenyekiti wake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro?
 
Zitto ni kati ya wanasiasa vuguvugu nchi hii sijawah ona....

Jamaa anakaa katikati siku zote kama popo....

Kwamba huo mswada wa madini kwa dharura ndio utakao okoa mashimo yaliyobaki tupu na ukiwa sheria hapo hapo yatajaa dhahabu?
Haya madinu yakiwa yanazungumziwa utadhani watakaochimba ni wananchi...
Uende ukawaite mabeberu hayo hayo yaje yachimbe na wawapangie bei.....waaoh.!
Kiukweli mihemko ya nationalism kwa sasa haina tija yeyote zaidi ya kutafuta kiki za kisiasa...
Huyo Zitto ni mnufaikaji mkubwa wa haya mambo na leo anasema taifa limepata mkombozi..
Hongera wakombozi
 
Kati ya Zitto sisi chadema nani vuguvugu. Kila Mara chadema tumedai mambo ya madini yatazamwe, leo serikali imekubali hayo yote chadema tunakataa. SASA Kugeugeu ni Zitto au chadema?.
 
Back
Top Bottom