kwenye mtandao wake wa facebook kapost vitabu alivyosoma mwaka huu 2014
Ndo maana kawapiga wenzake wengi gap ya kutosha katika uelewa wa mambo mbalimbali,he's proved that he has got all the makings of a great leader
Hivi Sugu na Lema wanasoma vitabu gani?
Tapeli wa demokrasia msaliti ssssssm huyoKumbe ndio maana Zitto uwezo wake umekithiri vipimo na wala hashikiki
Hakuna kwenye Upinzani zaidi ya Zitto that is theNdo maana kawapiga wenzake wengi gap ya kutosha katika uelewa wa mambo mbalimbali,he's proved that he has got all the makings of a great leader