Zitto aonyesha vitabu anavyosoma

Zitto aonyesha vitabu anavyosoma

HNIC

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
1,898
Reaction score
2,199
kwenye mtandao wake wa facebook kapost vitabu alivyosoma mwaka huu 2014

JANUARY MAKAMBA naye ana library kubwa tuu ya vitabu

https://www.facebook.com/photo.php?...1759799.111977.100000321189166&type=1&theater



1544495_859146117439420_8142435975342890763_n.jpg


10873456_859146107439421_1290674195868805605_o.jpg


10433079_859146104106088_1134534736730823874_n.jpg

10848505_859146114106087_2604473700147684067_o.jpg

10334249_859106847443347_5507784812553632661_n.jpg


kuhusu hiko kitabu hichi juu anasema hivi:

"Jakaya Kikwete anaingia ameingia katika mwaka wake wa mwisho wa uongozi wake akiwa na mtihani mkubwa unaohusu ‘legacy' yake mwenyewe. Ni Kiongozi pekee wa Tanzania aliyeruhusu taasisi za Uwajibikaji kufanya kazi zake na hata yeye kujikuta akichukua hatua kulingana na maamuzi ya taasisi hizo. Kabla yake, hakuna Rais wa Tanzania aliyetoa nafasi kwa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kufanya kazi zake kwa uwazi na umahiri. Hatua yake ya kujadili kwa uwazi taarifa ya CAG ya mwaka unaoishia Juni 30, 2006 kwa kuwaita Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya, kasha Makatibu Wakuu, Ma RAS na Ma DED ilijenga msingi mkubwa wa taarifa zinazofuata za CAG. Mwaka 2012 alifukuza kazi mawaziri 6 na manaibu mawaziri 2 kufuatia Taarifa za Kamati za Bunge za Mahesabu zilizotokana na Taarifa ya CAG. Haikupata kutokea katika historia ya nchi yetu Rais kufanya hivyo. Hata hivyo, Rais Kikwete amepata changamoto kubwa inayotokana na mafanikio yake ya miaka 9 ya uongozi wake. Namna atakavyo shughulikia suala la akaunti ya Tegeta Escrow, ama itafuta ‘legacy' yake au itaiimarisha. Akiimarisha atakuwa ‘redefining leader' – Kiongozi ambaye anatoa changamoto kwenye mazoea na kufanya yale ambayo wenzake walishindwa."

Soma RaiaTanzania kesho Jumatatu katika jarida la Elimu. Hiki ni kitabu changu cha mwisho wa mwaka huu 2014 The Myth of The Strong Leader by Prof. Archie Brown


https://www.facebook.com/photo.php?fbid=859106847443347&set=a.102079856479387.4657.100000321189166&type=1&theater
 
kwenye mtandao wake wa facebook kapost vitabu alivyosoma mwaka huu 2014

Kwa chadema hicho kitabu cha Development in Germany Politics nadhani ndicho wanachokitumia zaidi kuliko vingine vyote.Wanakisoma kukikariri na kukitumia.Ndio maana hawaishi trip za Ujerumani.
 
Zitto anajipambanua kama ni msomi anayependa kujua mambo mapya. Nimeshangaa kuona kitabu cha "The hard choice" cha Hillary Clinton. Nakitafuta sana hicho kitabu. Nimeambiwa katika kitabu hicho yeye akiwa waziri wa mambo ya nje walishiriki kuanzisha kikundi cha Islamic state kinachoendesha mauaji huko Syria na Iraq.
 
Sijaona hata kimoja chenye maana. Vyote ni history.Angejisomea tu " The Secrte"The master Key System nungemwelewa.Otherwise anakopi na kupaste mafanikio na makosa wengine Ulayani, Asia na Uislam
 
Back
Top Bottom