ukiwa unatoa mifanao jaribu kuweka like for like
wakati collin powell anayasema hayo hakuwepo kwenye frontline politics za republican.
angekuwa kwenye frontline politics za republican angesema hayo, angetakiwa kujiuzulu.
Zito yuko kwenye frontline politics za chadema.
Ni chadema kama chama ndio kinatakiwa kiseme kitamuunga mkuno kafulila.
kama chadema wakisimamisha mgombea wao na wakamtuma zitto akamfanyie kampeni, zitto akikataa what next???
nakubaliana na wewe kuna tofauti kubwa kati ya campaign na endorsementkunatofauti kubwa kati ya kuunga mkono mgombea fulani na kumfanyia kampeni mgombea. wote tunafahamu kwamba mgombea anajinadi na kunadi sera za chama chake. kama sera za vyama viwili tofauti zinashabihiana hakutakuwa na mushkiri iwapo kiongozi wa kimoja anaweza kumfanyia kampeni mgombea wa chama kingine.
naamini hili suala lingekuwa rahisi iwapo kungekuwa na mgombea binafsi.
Hoja za Powell kwa Obama zinakosa nguvu kutokana na ukweli kuwa Powell alilinganisha sera za Obama na zile za McCain akapata chaguo. Zitto kasema anasukumwa na ushirikiano wa vyama ili wawe na nguvu ya kupambana na CCM. So far, chama chake na hata hivyo vingine anavyotaka kushirikiana navyo havijasema vitamsimamisha nani kwenye jimbo la Kafulila. Ni vema angesuburi muda ukafika na wagombea wote huko wakajulikana ndipo akasema namuunga mkono huyu kwa sababu hizi na hizi na huyu mwingine namkataa kwa sababu hizi na hizi.
Hata hili la kuipigia debe NCCR kwa kuwa mara zote imekuwa namba 2 nyuma ya CCM halina nguvu. Kabla ya uchaguzi mdogo Busanda, CUF waliomba waachiwe na wapinzani wengine kwa kuwa ndio walikuwa namba 2 nyuma ya CCM. CHADEMA walikataa na baada ya uchaguzi CHADEMA wakapata kura nyingi sana kuliko CUF, hali inaweza kuwa hiyo hata Kigoma kusini. Let's face the truth. Msimamo huu wa Zitto hautakuwa na manufaa yoyote kwa Kafulila wala kwa chama chake cha NCCR, sana sana itakuwa wote CHADEMA na NCCR kukosa na CCM kupeta kilaini!
Kuna mkanganyiko na huyu mwandishi anayezidi kupotosha umma kwa makusudi . Kwanza nianze kwa kusema Zitto kumuunga mkono Kafulila si jambo la ajabu na wala Chadema wasiumie maana kama kuna nafasi ya NCCR kushinda huko nia bado ni kuwapata wapinzani wengi hivyo isiwe issue ya kutuchukulia muda .Msimamo wa Zitto ni kama Zitto na si kama Katibu wa Chadema shida iko wapi mtu na rafiki yake ?
Upotoshwaji ni huu
Madai kwamba Kafulila alifukuzwa Chadema na mwenzake . Jamani sote tunajua kwamba walivuliwa madaraka yao na si kufukuzwa uanachama .Wamejiondoa wenyewe kwenye uanachama na nafasi zao za kika zikachukuliwa na wengine ni kawaida .Sasa tusipotoshwe hapa .
Lipumba kasema vyema na Zitto alisema na anasema eneo hilo NCCR wanakubalika na Kafulila yeye hadi apate Ubunge ndipo neno mpinzani kwake litakamilika sasa tumuombee heri na tuwe focused na si kupotoshana hapa kila mara na habari za waandishi hawa .
en⋅dorse⋅ment  /ɛnˈdɔrssawa sawa kabisa:
Halafu msisitizo: Powell ENDORSED OBAMA "not" SUPPORTED OBAMA
kwa nini hawamfukuzi Zitto ndugu yangu?
Unajua Chadema kimeshajifia siku nyingi! unapoteza muda kutetea chama
je umeangalia madhaifu ya chadema katika hii ishu?
wewe ndiye uliyekwisha kufa na ukimwi unaokutesa na siyo chadema
ushabiki upofusha, hata mimi ni chadema kwa taarifa yako
Waberoya, sasa hapa upi ushabiki unaouongelea - ushabiki kwa Chadema ama ushabiki kwa Zitto, ni swali tu.
wote mashabiki wa zito na wa chadema, umesoma ile thread ; Tanzania's missing opposition? na umesoma report ya redet.
Analysis should be more than one dimension;
Utagundua yes we do love these parties , but we have a long way to go; tusipende kitu kisichokuwepo.Just imagine mag3 na post zako zote za kuipenda chadema kesho tunapata kura 2! but if we will criticaly construct chadema tukapata kura 100, kwangu mimi ina faida.Lisikuumize swala la Zito, huwa wanamsema sana Zito na huwa napenda kuangalia upande wa chama zaidi, na hii imetafsiriwa labda namtetea. Wote tukiangalia upande mmoja hamna dicussion humu! I like to challenge ideas, to challenge people kuona kama wanachoamini ndio wanachoandika, believe me Mag. Sasa mtu anakasirika na kutoa matusi kwenye forum yenye member 8000, na sio wote wanaozipitia hizi thread. The ver same member kesho unamtuma aende Kigoma akakipigie kampeni chadema, ukifika field watu wanauliza nasty questions, na kupata kura ni function how people will be convinced by your argument na sio matusi.
Hili sio kwenye mijadala ya chadema na zito tu, ni tatizo letu sehemu nyingi; sijajua ni elimu yetu, malezi, au ...culture, wakati makanisani tunaambiwa mkiwapenda jirani na kuwaonyesha mifano mizuri, watavutika kuja kanisani! I do hope in these parties this technique applies. Chama chenye wanachama wenye matusi, hasira n.k. Kupata kura sio rahisi, kuwabadilisha watu inabidi uwe kweli una ujuzi wa kupanga hoja na mapoint na sio matusi
In short Zito hayumo chadema, if we real believe that love start form the heart! kumwekea zengwe la uchaguzi na kumpa pipi ya uongozi, havijasaidia lolote.My worry ni kuwa kesho asitokee tena mtu kama yeye akalalamika the same thing ambacho walioondoka na kufariki walilalamika!
kasome zile paper Mag, tukutane huko
My dream ni kuwa kiongozi au mwanachama mwaminifu ndani ya chama, lakini sitaweza kuingia kama I can not fullfill my dream.Naota kuwa waziri wa ujenzi kupitia chadema ikishika nchi! can my dream be real?, think! thats what I am fighting for. Mpaka leo hakuna aliyenipa sababu ya Zito kutokugombea uongozi, mpaka leo sijajua kwa nini Zito yumo Chadema huku anapiga kelele! nikianza analysis zangu za sifa za chama na uongozi, hawa wote hawana sifa za kuwa chama au uongozi! I mean Chadema and Zito. Na hapa wanaweka matumaini yangu katika rehani! Yes I still love Chadema, ila hakuna anayeniconvince kwa kunipa majibu ili tumain langu lisiyeyuke, maana ukiondoa chadema wengine wote, hamna kitu!
By the way huyo jamaa niliyemjibu hapo juu tangu 2007 mpaka leo yeye anatukana matusi tu, namwandalia thread awe baned! mbona sio mstaarabu kama wengine??
Huwa nawatania chadema angalia Mnyika anavyojibu maswali, muulize any nasty question, Mnyika anaanza taratibu kwa upole na anakuvuta unavutika. Mbowe naye anaweza kujibu maswali bila hasira.
I believe forums is a nice place to analyse things critically in debate-like style.
I can pose a question to seek for an answer, but does not necessarily that I believe in the question I have asked. some we do need points!. However what you wite need to be what uou believe and should apply to all issues.
Napenda kuwataja kwa majina marafiki walioshiriki ni mimi mwenyewe kama rafiki yake wa karibu kutoka foe miaka hiyo mr tutabananahmhm , miaka hiyo james magendera uliyesoma naye sekondari huko mkoa wa kilimanjaro na martin kiwale uliyesomanaye huko university of zanzibar.
Kama kawaida tukiwa sekondari hatujui baraka zitakazo kujia. Ingawa baada ya madaraka uliyoyapata ni ndoto kupata nafasi ya kuonana na wewe ila tunajivunia sana mafanikio yako. Kama ilivyo ada majicho ya husda yanaelekea kufanikiwa na kuteketeza nyota yetu isiyoteketea. Hii ni taarifa tuu kwa wanaocheza na moto. Dhambi ,nia mbaya na chuki zina adhabu ya mauti. Tunakujulisha sasa utakuwa jiwe kuu la msingi.
(ili usiwe na utatata kama unataka kumkumbuka ndugu tutabananahmhm kutoka foe na kina gasper , waziri selemani na wengine. Huyu ndugu aliweza kukuzawadia cover jipya la sinu yako lililoharibika akakupa lake jipya lililokuwa na uwezo wa kubadili line tatu za simu nokia 3310. Kwa hayo hapa juu tunategemea utakuwa mtu mwenye amani na ushindi.
Ni sisi wanafunzi wenzako.
Kijana umekuwa objective sana katika maandishi yako lakini sasani kama unaogopa watu fulani fulani kukupa lebel ya Zitto. Ujue kuna watu humu wana Zittophobia, usiwajali toa hoja zako.
Waberoya, tell the Zitto you know. The fearless, out of box, the rebel. The Organiser, Networker and Pragmatic. Huyu hatoki CHADEMA. Kwake next step in Opposition Alliance towards 2010.