Zitto ang'atuka uongozi ACT Wazalendo. Mbowe atang'atuka lini CHADEMA?

Mbona sioni mkiuliza kuhusu Lipumba ambaye amekuwa kiongozi wa Chama Toka kianzishwe na sasa ni.miaka 32 na bado ni kiongozi mbowe kachukua juzi tu 2004
Yule ni tapeli aliharibu CUF so abakie nayo huko huko maana alilindwa na Mwendazake
 
Uongozi ni kuachiana Kijiti. Hivyo ndivyo amefanya bwana Zitto Kabwe baada ya kung'atuka nafasi ya Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ili damu changa na Mpya zishike hatamu.

Zitto anaachia ngazi ikiwa amekijenga chama hicho kujikita kwenye hoja na mambo ya msingi(issues) badala ya kile Chama Kingine Cha Matukio na kisicho na ajaenda yaani Chadema.

Chadema imekuwa chama Cha Matukio na upepo Kwa sababu ya kuwa na Kiongozi Sultani bwana Mbowe ambae kimsingi hana jipya, kiasi kwamba kadiri anavyozeeka ndivyo na chadema kinazeeka 😁😁

Alichosema Zitto akiwa katika kipindi cha Power Breakfast, Clouds FM

My Take
Hongera bwana Zitto kwa Kufuata misingi ya Baba wa Taifa.

ACT imeonesha Uongozi kwenye mambo mengi hasa kwenye uchambuzi wa kiuchumi na jambo la Bima ya Afya, kule mna hoja za msingi sana Serikali ifuate ushauri wao.
Kwa hili namuunga mkono Zito kwa 100%. Kupisha wengine huleta afya kwa taasisi. Anachokifanya Mbowe ni kudhalilisha cdm kwa kuendelea kukaa madarakani muda wote huo, huku akiwa Hana jipya ndani ya cdm.
 
Huwezi kufananisha ACT Wazalendo na CHADEMA. Chadema ni chama kikuu cha upinzani kinachotakiwa kuongozwa na mtu imara asiyeyumbishwa msimamo. Zito hana msimamo na hana maono kwa taifa hata aking'atuka sawa tu, impact yake ni ndogo sana katika siasa za nchi hii. Mbowe aking'atuka chama nacho kinakufa kisiasa, mbowe ni icon ya chama. Chadema inatakiwa ikomae kwanza na kuwa na watu wenye misimamo wasioyumbishwa ndio huyo mwenyekiti ang'atuke
 
Kwamba Mwamba ana msimamo, hayumbi na ana maono!! Ila Mwamba Nivushe mna mambo!! Mtu kama Heche anaweza peleka chama mbali sana.
 
Huwezi kufananisha ACT Wazalendo na CHADEMA. Chadema ni chama kikuu cha upinzani kinachotakiwa kuongozwa na mtu imara asiyeyumbishwa msimamo. Zito hana msimamo na hana maono kwa taifa hata aking'atuka sawa tu, impact yake ni ndogo sana katika siasa za nchi hii. Mbowe aking'atuka chama nacho kinakufa kisiasa, mbowe ni icon ya chama. Chadema inatakiwa ikomae kwanza na kuwa na watu wenye misimamo wasioyumbishwa ndio huyo mwenyekiti ang'atuke
maana yake hakina misingi ya kitaasisi imejengwa juu ya msingi wa mtu moja 🐒
 
Huwezi kufananisha ACT Wazalendo na CHADEMA. Chadema ni chama kikuu cha upinzani kinachotakiwa kuongozwa na mtu imara asiyeyumbishwa msimamo. Zito hana msimamo na hana maono kwa taifa hata aking'atuka sawa tu, impact yake ni ndogo sana katika siasa za nchi hii. Mbowe aking'atuka chama nacho kinakufa kisiasa, mbowe ni icon ya chama. Chadema inatakiwa ikomae kwanza na kuwa na watu wenye misimamo wasioyumbishwa ndio huyo mwenyekiti ang'atuke

Kwa hio Chadema nzima mwenye msimamo ni mtu mmoja tu ?
 
Mbowe anawahenyesha sana, sasa hivi kilichobaki kwenu ni kumtaka aondoke uongozini coz mitego yenu mingine yote kwake mlishindwa.

Namkubali sana huyu mtu. Kiongozi mnyumbulifu kulingana na mazingira na wakati.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Uongozi ni kuachiana Kijiti. Hivyo ndivyo amefanya bwana Zitto Kabwe baada ya kung'atuka nafasi ya Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ili damu changa na Mpya zishike hatamu.

Zitto anaachia ngazi ikiwa amekijenga chama hicho kujikita kwenye hoja na mambo ya msingi(issues) badala ya kile Chama Kingine Cha Matukio na kisicho na ajaenda yaani Chadema.

Chadema imekuwa chama Cha Matukio na upepo Kwa sababu ya kuwa na Kiongozi Sultani bwana Mbowe ambae kimsingi hana jipya, kiasi kwamba kadiri anavyozeeka ndivyo na chadema kinazeeka 😁😁

Alichosema Zitto akiwa katika kipindi cha Power Breakfast, Clouds FM

My Take
Hongera bwana Zitto kwa Kufuata misingi ya Baba wa Taifa.

ACT imeonesha Uongozi kwenye mambo mengi hasa kwenye uchambuzi wa kiuchumi na jambo la Bima ya Afya, kule mna hoja za msingi sana Serikali ifuate ushauri wao.
Mzee cdm na mali yake
 
Back
Top Bottom