Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,589
- 272,326
unaongea nini wewe kinyesi? hawa wabunge walioongezeka mpaka kufikia 22 wametoka wapi? hujui ile saccos kipindi ikiwa chama ilikuwa na wabunge 5 tu? na wabunge 2 tu wakiwa active ambao ni Zitto na slaa. au huifikirishi vizuri hiyo coconut yako juu ya shingo?
mmmmmmmmmm, usianze kuwa na mashaka na vijana wengi, huo ndiyo ukweli kwamba vijana wanamtaka kijana kama ZITTO na si vinginevyo, wewe kama unajijua ni mzee shauri yako manake uzee siyo lazima umri, unaweza kuzeeka hata kwa fikira. Lazima kijana yoyote mpenda maendeleo amuunge mkono ZITTO KABWE.
Ukiona wanakujadili ujue wanakukubali
Kuna thread iliwekwa humu mwaka 2009, nimeikuta mahali. Tujikumbushe:
watu wengine wanabore, unashindwa hata uanzie wapi kumjibu. hakuna asiyejua kuwa hoja za nguvu za Zitto na Slaa ndani na nje ya bunge ndo zilizozaa wabunge wa chadema kufikia 23 wakuchaguliwa kutoka wabunge 5 tu wa 2005-2010. sasa mtu mwengine anapoleta porojo kwa mambo yaliyowazi,,,,,,..................?????matusi na lugha chafu ulizoanza kuzitumia kwa kasi sana ZITAKULETEA MATATIZO .
Hahahahaha lol!!! Ujue na movie inaendelea hadi uone maandishi ZE END 🙂🙂 ndio ujue movie imekwisha.
Zitto, hawezi Achiba posho za PAC ki rahisi namna hiyo.....anawagilibu wakina Kitila yeye anasubiri kuvuta za Bunge la katiba kwanza na za mashirika ya umma .....NHC watamuumbua soon....
Zitto tuko na wewe, hawakujui kuwa wewe ni mtu wa grassroot.
Ngoja watauona moto.
Zitto kachanganyikiwa .
Kujenga Kontinenti lenye sauti moja hakutokei kwa kuwa mbinafsi na ulichonacho.
Angekua Mwerevu nguvu zote alizotumia kuanzisha chama angewekeza CDM maana Mpinzani mwingine nchi hii hakuna.
Ndio tatizo sasa, probably ameshajua the end itakuwaje. Ndio maana anabuy time kwa kuitumia mahakama!
Siku akitaka yeye mwenyewe ndo ze end ya movie.
Huku yuko na kule yuko! sijui kwanini anashindwa kuamua kirahisi kile anachokitaka ambacho kwa sasa kiko wazi kabisa. Maana CHADEMA hawezi kuendelea kuwepo hata kama atashinda kesi kwa kuwa hakuna atakayekuwa tayari kufanya naye kazi.
Zito akiondoka atakitikisa chama lakini hataweza kufikia lengo la kuua harakati hizi kamwe! Ataingia kwenye historia ya Mrema na atakwisha kisiasa taratibu.
Huyu Zitto Kabwe itakuwa kachanganyikiwa, anataka kuturudisha kwenye azimio la Arusha lililomshinda Nyerere?
Nyerere alikuwa "secessionist" ushahidi ni Biafra. Aliisaidia kwa hali na mali itengane na Nigeria.
Sasa nnaamini kuwa ATC haikuja kutaka kuongoza nchi imekuja kwa sababu zingine na tutazielewa tu, iko siku. Maana ni Watanzania wangapi leo hii wanaotaka siasa za Nyerere za kufunga kiwanda cha Matrekta kufunguwa kiwanda cha jembe la mkono? mwisho tukaishia kuwa wote masikini wa mwisho duniani.
Huko Zitto na wenzako humtupeleki na wala hatuwaungi mkono.
Khaa, hivi wana Kigoma nnavyowajua mimi jinsi wasivyomkubali Nyerere kwa kuwaweka nyuma kimaendeleo kwa miaka yote aliyokuwepo madarakani leo uwaambie unataka kuwarudishia siasa zake?
Wewe upo kimaslahi binafsi na si maslahi ya Watanzania.