Zitto ana nini na Mh. Pinda?

Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
Pamoja na kuwa Zitto anapendwa na wana-CCM, jambo moja linanishangaza sana. Sielewi ni kwa nini Zitto anamshupalia sana mh. Pinda. Kuna wakati alifikia hatua ya kukusanya saini ili Pinda ajiuzulu. Halafu akasema Pinda analipwa mshahara wa milioni 30. Halafu issue inapotokea bungeni Zitto anamng'ang'ania Pinda ajiuzulu, kwa nini? Hivi karibuni Pinda alisema kuwa Zitto anamzushia uwongo hadi Mh. Pinda akataja mshahara wake kuwa ni mil 6 na pia akataja mshahara wa rais.

Je Zitto anafanya kampeni aliyotumwa ili mtu wao aje kuwa waziri mkuu? Nina wasiwasi Zitto ametumwa na mtu mzito katika CCM na mkubwa katika serikali ili Pinda aondolewe kwenye uwaziri mkuu na huyo mtu wao waliyemuandaa apewe nafasi hiyo. Vinginevyo sioni kwa nini Zitto kila wakati anamwandama mh. Pinda. Kama ndivyo Zitto anafaidika vipi katika kampeni yake ya kumwondoa Pinda kwenye uwaziri mkuu?
 
tofyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
2,690
2,000
ni vigumu kujadili hisia zako binafsi. Labda watakusaidia bavicha wasio jitambua.

Ben saanane na timu yake. SUMU LTD
 
Mwanamalundi

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,122

Huna hoja ya maana. Siku nyingine, kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Soma michango ya wenzako.

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
16,710
2,000
Hivi hujagundua kauli ya PM "...wapigwe tu..." ilivyoleta madhara mpaka sasa...?
 
AWIKA

Senior Member
Sep 17, 2012
165
170
Pamoja na kuwa Zitto anapendwa na wana-CCM, jambo moja linanishangaza sana. Sielewi ni kwa nini Zitto anamshupalia sana mh. Pinda. Kuna wakati alifikia hatua ya kukusanya saini ili Pinda ajiuzulu. Halafu akasema Pinda analipwa mshahara wa milioni 30. Halafu issue inapotokea bungeni Zitto anamng'ang'ania Pinda ajiuzulu, kwa nini? Hivi karibuni Pinda alisema kuwa Zitto anamzushia uwongo hadi Mh. Pinda akataja mshahara wake kuwa ni mil 6 na pia akataja mshahara wa rais.

Je Zitto anafanya kampeni aliyotumwa ili mtu wao aje kuwa waziri mkuu? Nina wasiwasi Zitto ametumwa na mtu mzito katika CCM na mkubwa katika serikali ili Pinda aondolewe kwenye uwaziri mkuu na huyo mtu wao waliyemuandaa apewe nafasi hiyo. Vinginevyo sioni kwa nini Zitto kila wakati anamwandama mh. Pinda. Kama ndivyo Zitto anafaidika vipi katika kampeni yake ya kumwondoa Pinda kwenye uwaziri mkuu?
Mkuu mimi naona chamsingi hapa ni kuzipima hoja/sababu anazozisimamia zito wakati wakumtaka waziri mkuu ajiudhuru au wakati wa kutaja anachopata waziri mkuu (kwani hata akija waziri mkuu mwingine mshahara wake na marupurupu vitabaki vilevile kulingana na utaratibu uliopo sasa) na ndipo utaweza kujua iwapo kuna upande unaoonewa. Binafsi yangu hapa naona kama unamshupalia na kumuonea Mh Zito pia kwani;
1. Si Mbunge zitto pekee aliyewahi kujaribu kukusanya kura kwa ajili ya kumng'oa waziri Mkuu;mkumbuke Mh Kigwangara na hata kama ulifuatilia vizuri bunge jana Mh Kangi Lugola alisema kama mawaziri wale watatu wangegoma kujiuzuru basi angekuwa wa kwanza kuomba wabunge wenzake kumuunga mkono katika kuhakikisha wanampigia kura ya kutokuwa na imani naye waziri mkuu.
2. Mh Zitto hakutaja mshahara wa waziri mkuu pekee alitaja pia mishahara ya Raisi,mawaziri na wabunge(yeye mwenyewe akiwa mmoja wao)
3. Kwa case ya jana Mh Zitto ali refer hasira walizozionesha waheshimiwa wabunge kwa uwingi wao bila kujali vyama vyao katika kumtaka Mh waziri Mkuu na mawaziri wake wajiuzuru, alimshauri awajibike(political responsibility) na kwamba hiyo isingekuwa na maana kwamba yeye binafsi(waziri mkuu) aliyafanya makosa yale.
bila shaka ni moja kati ya majukumu ya kibunge kuishauri na kuikosoa serikari!
 
Dec 6, 2011
32
0
kaka pole sana kwa kua umeingia katika uwanja wa wanaojitambua sasa nahisi ulikuwa kiwanja cha facebook mnakopost picha za uchi na kuulizana km utokelezea pole sana huku ni critical thinkers rudi tu facebook huku hukuwezi HUNA HOJA YA SISI KUJADILI:evil::cool2:
 
Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
ni vigumu kujadili hisia zako binafsi. Labda watakusaidia bavicha wasio jitambua.

Ben saanane na timu yake. SUMU LTD

Sijazungumzia hisia bali naunganisha nukta kwa nini Zitto anamfuatafuata sana Mh.Pinda tena kwa kumtungia uwongo.
 
Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
kaka pole sana kwa kua umeingia katika uwanja wa wanaojitambua sasa nahisi ulikuwa kiwanja cha facebook mnakopost picha za uchi na kuulizana km utokelezea pole sana huku ni critical thinkers rudi tu facebook huku hukuwezi HUNA HOJA YA SISI KUJADILI:evil::cool2:

Hapa umeandika nini sasa, hakuna hoja.
 
Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
Mkuu mimi naona chamsingi hapa ni kuzipima hoja/sababu anazozisimamia zito wakati wakumtaka waziri mkuu ajiudhuru au wakati wa kutaja anachopata waziri mkuu (kwani hata akija waziri mkuu mwingine mshahara wake na marupurupu vitabaki vilevile kulingana na utaratibu uliopo sasa) na ndipo utaweza kujua iwapo kuna upande unaoonewa. Binafsi yangu hapa naona kama unamshupalia na kumuonea Mh Zito pia kwani;
1. Si Mbunge zitto pekee aliyewahi kujaribu kukusanya kura kwa ajili ya kumng'oa waziri Mkuu;mkumbuke Mh Kigwangara na hata kama ulifuatilia vizuri bunge jana Mh Kangi Lugola alisema kama mawaziri wale watatu wangegoma kujiuzuru basi angekuwa wa kwanza kuomba wabunge wenzake kumuunga mkono katika kuhakikisha wanampigia kura ya kutokuwa na imani naye waziri mkuu.
2. Mh Zitto hakutaja mshahara wa waziri mkuu pekee alitaja pia mishahara ya Raisi,mawaziri na wabunge(yeye mwenyewe akiwa mmoja wao)
3. Kwa case ya jana Mh Zitto ali refer hasira walizozionesha waheshimiwa wabunge kwa uwingi wao bila kujali vyama vyao katika kumtaka Mh waziri Mkuu na mawaziri wake wajiuzuru, alimshauri awajibike(political responsibility) na kwamba hiyo isingekuwa na maana kwamba yeye binafsi(waziri mkuu) aliyafanya makosa yale.
bila shaka ni moja kati ya majukumu ya kibunge kuishauri na kuikosoa serikari!

Zitto alimlenga Pinda, hao wengine ni geresha tu. Inawezekana pia Kingwangwala naye anafanya kazi moja na Zitto ya kumtafutia mtu mwingine wa CCM wanayemtaka.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,279
2,000
Pamoja na kuwa Zitto anapendwa na wana-CCM, jambo moja linanishangaza sana. Sielewi ni kwa nini Zitto anamshupalia sana mh. Pinda. Kuna wakati alifikia hatua ya kukusanya saini ili Pinda ajiuzulu. Halafu akasema Pinda analipwa mshahara wa milioni 30. Halafu issue inapotokea bungeni Zitto anamng'ang'ania Pinda ajiuzulu, kwa nini? Hivi karibuni Pinda alisema kuwa Zitto anamzushia uwongo hadi Mh. Pinda akataja mshahara wake kuwa ni mil 6 na pia akataja mshahara wa rais.

Je Zitto anafanya kampeni aliyotumwa ili mtu wao aje kuwa waziri mkuu? Nina wasiwasi Zitto ametumwa na mtu mzito katika CCM na mkubwa katika serikali ili Pinda aondolewe kwenye uwaziri mkuu na huyo mtu wao waliyemuandaa apewe nafasi hiyo. Vinginevyo sioni kwa nini Zitto kila wakati anamwandama mh. Pinda. Kama ndivyo Zitto anafaidika vipi katika kampeni yake ya kumwondoa Pinda kwenye uwaziri mkuu?

Nani aliokwambia CCM wanampenda Zitto. Sisi tunapenda anavyowasambaratisha lakini yeye kama chadema, ni no no no no no.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom