Zitto amwambia Makinda nipo tayari kuvua dagaa kijijini kwetu

Zitto Muongo Mkubwa Umeshatajirika Kwa Pesa za Kifisadi, na zile ulizokomba katika Uenyekiti wa Kamati Kubwa ulioiongoza Bunge lililopita Mbona hujazirejesha, wacha siasa za Kitoto weee Watu Wanakuchekaaaaaaa
Kama wanacmkeka katika hoja hii, basi hao sio watu. Ni mamba wala watu.ila Zambi anayeomba rushwa ndio shujaa wako. Nasema hivi kuwa Mwana CCM lazima akili ziwe kwapani
 
Zitto Muongo Mkubwa Umeshatajirika Kwa Pesa za Kifisadi, na zile ulizokomba katika Uenyekiti wa Kamati Kubwa ulioiongoza Bunge lililopita Mbona hujazirejesha, wacha siasa za Kitoto weee Watu Wanakuchekaaaaaaa
Wakati akianza ubunge hali ya uchumi ilikuwa nzuri sasa hivi hali ni mbaya na wabunge lazima walielewe Hilo na sio wao kuishi maisha tofauti na walalahoi wengine
 
Wandugu ebu nisaidieni,atafukuzwa bungeni kwa kosa lipi hasa?kwani kukataa posho ni kinyume cha sheria au kanuni za bunge?utovu wa nidhamu?
 
Wandugu ebu nisaidieni,atafukuzwa bungeni kwa kosa lipi hasa?kwani kukataa posho ni kinyume cha sheria au kanuni za bunge?utovu wa nidhamu?....Nakuunga mkono Zitto,pia watambue wakithubutu kukufukuza bungeni watazidi kukupa umaarufu ambao utawatesa wenyewe!
 
Bunge letu ni mzigo,vikao kiduchu lakini mafao kibao.Ni heri kutokuwa na bunge kabisa kwa sasa kwani ni gharama kwa mwananchi.
 
Bunge letu ni mzigo,vikao kiduchu lakini mafao kibao.Ni heri kutokuwa na bunge kabisa kwa sasa kwani ni gharama kwa mwananchi.
 
Zitto Muongo Mkubwa Umeshatajirika Kwa Pesa za Kifisadi, na zile ulizokomba katika Uenyekiti wa Kamati Kubwa ulioiongoza Bunge lililopita Mbona hujazirejesha, wacha siasa za Kitoto weee Watu Wanakuchekaaaaaaa

Wewe ndio wote ambao bado akili imeganda, iko siku itayeyuka tu na utatia akili.
 
hii issue ni too sensitive as it is two way sword.posho za wabunge zikifutwa it is obvious posho yoyote ya wizara itakayobaki.so people dont want this thing to happen.too sad.
 
Zitto Muongo Mkubwa Umeshatajirika Kwa Pesa za Kifisadi, na zile ulizokomba katika Uenyekiti wa Kamati Kubwa ulioiongoza Bunge lililopita Mbona hujazirejesha, wacha siasa za Kitoto weee Watu Wanakuchekaaaaaaa

wacha uzezeta wewe andika substance sio madudu
 
At least the new generation is saying NO to BUSINESS AS USUAL...... wanalipwa posho ambazo siyo justifiable........hata kama wakisema ni za kisheria......that is a bad law which gives the legal loopholes to grab the public fund.....
 
Zitto Muongo Mkubwa Umeshatajirika Kwa Pesa za Kifisadi, na zile ulizokomba katika Uenyekiti wa Kamati Kubwa ulioiongoza Bunge lililopita Mbona hujazirejesha, wacha siasa za Kitoto weee Watu Wanakuchekaaaaaaa
Watu kama nyie Tanzania haiwahitaji kabisa, akili imeoza unaliwa na uvivu wa kufikiri. Jamaa hataki posho kwa kuwa ni dhuluma dhidi ya sisi watanzania maskini tunaokosa dawa kila kukicha, badala ya kushukuru kuwa huo mzigo anaoukataa utawasaidia watu wenye shida wewe unang'ng'ania mbona zamani alichukau, huo ni unyang'au bwana mdogo. 70K ni kima cha chini katika sekta binafsi bongo halafu wewe unadharau???
 
Poshoooooooo......popopopoposhooooooooo.......
Wabunge wananuna dodoma huko kwa ajili ya poshooooooooo.....bi kiroboto alishawahi kusema atahakikisha wanaongezewa mishahara wabunge wetu........kaaaazi kwelikweli
 
Zitto Muongo Mkubwa Umeshatajirika Kwa Pesa za Kifisadi, na zile ulizokomba katika Uenyekiti wa Kamati Kubwa ulioiongoza Bunge lililopita Mbona hujazirejesha, wacha siasa za Kitoto weee Watu Wanakuchekaaaaaaa

Acha uzushi nani anamcheka... ww lazima utakuwa viti maalumu tu
 
Hizi posho za wabunge na usanii wa Spika ni sawa na ngoma ya tokomile. Kila mmoja ameshika bakora. Anayemuona mwenzake kazubaa, anamtandika. Anyway sifafanui hapo.

Ukipata nafasi ya kusikia hizi posho zinavyotafunwa, utashindwa kushangaa. Kuna kaofisi kamoja ka serikali, eti mhasibu analipwa posho ya kufanya bank reconciliation wakati ni kazi yake. Ukiaangalia job description yake utakuta hilo ni moja ya majukumu yake...lakini akifanya kazi hiyo ambayo analipwa mshahara kila mwezi...huondoka na posho pia. Kudaaadek!!

Posho ni ufisadi mwingine wa watu wengi. How can we crucify mapacha watatu kwa ufisadi, wakati kuna vifisadi vinavyolamba posho kwa kufanya kazi ambayo pia wanalipwa mishahara?
 
Zitto is damn right! na huu ni mtego kwa CCM kwani CHADEMA wkwa upande mwingine wanajenga hoja pia ya kuendelea kujipatia umaarufu...Reality na politics ndani yake! safi sana ZITTO!
 
Duh maalim el maaruf umidata sana.
Maskini Zitto!Anatetea matumizi mabaya ya fedha za serikali lakini shukrani yake ni kuambiwa ooh eti mara anajuitafutia umaarufu etc etc.Mimi naona sasa angejikalia kimya. Serikali iendelee kuzitafuna hela kadri itakavyo. Mafisadi waendelee kuikomba hii nchi hadi ifilisike na kuwa a failed state! Wabunge wajiongezee salary na wajilipe TSHS 50 Million a month. Sitting allowances ziongezwe toka 70K to 500K. Per diem yao iwe 500K. Speaker Makinda aongezwe mshahara kuwa 100 Million a month!! Nchi iendelee kutafunwa na kutafunika weeeeeeeeeeeeee hadi icollapse kabisaaaaaaaaaa chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Bankrupt!! Labda baada ya hapo ndio wabongo na akina Nape et al tutatia akili sasa na ule mgando wa akili yetu utayeyuka na kuacha ushabiki wa vyama na kuweka maslahi ya nchi mbele ya maslahi ya chama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom