Retired soldier
Member
- Dec 4, 2016
- 7
- 2
Haki ya mtu haipotei na malipo n dunian,,mm aina hata presho coz kila k2 n mipango ya Allah tu dunia ya mwenyew Mungu ila binadamu tunajisahau sanaaaaaaa,Kuna mambo magumu yanatendeka ambayo hayana faida kwa yoyote, awe hai au amekufa!!! Kinachoendelea Arusha ni vita ya siasa baina ya wanasiasa na mbunge wa Arusha. Kwa bahati mbaya sana, hawa wachache wanaojitoa kupambana na udhalim wanakosa mass support na mwishowe wanakandamizwa na kuonewa na vyombo vya sheria vya dunia ya tatu. Na katika hili, nchi za dunia ya tatu hazikustahili ziendelee kubaki dunia ya tatu, nafikiri tumeshajizogeza hadi dunia ya sita, ambayo mind zime-freeze completely. Wakati utaamua, na wakati ukifika kila kitu kitakuwa sawa.
Naumia sana kuona Jembe kama Lema anasoteshwa ila Allah atalipajela kuna tabu kweli mwache amenyeke kidogo sasa tutafanyaje jambazi anapewa dhamana ila lema kanyimwa
Hayo mawazo yako hakuna mtu aliyemtenga lema bado tunampendaKumbe amebaki na mkewe tu bavicha wake wameshaingia mtini?
Badala ya kumshauri ajiheshimu kama wabunge wengine, nyinyi mnampa kichwa ngumu. Mbona lisu yeye alibadirika upesi na kumheshim rais?? hata huyo zito mbona alinyooka.
Hivi Lema yuko gerezani ama mahabusu?
Tupo wengi afungwe mwaka hata mmoja tu
President Jacob Zuma told supporters on Saturday he wasn’t scared to go to prison because he had been jailed during apartheid.jela kwa wanaume weweMie natamani lema akae huko walau mwaka mmoja tu
Huyu kazidisha upuuzi
angeondolewa Netanyahu !Hivyo Lema alikosa nini? Sikumbuki tena. Ila kwa nini hajapelekwa kortini ama kwa nini kesi inaahirishwa kila siku bila kutoa hukumu?
Mtu akisema "ukiendelea kuonea watu Mungu anaweza kukuondoa". Ni kumonya mtu siyo kutukana.
si unakumbuka wale masheikh waliotaka kuvunja muungaoo !?Teyari watu washafanya mambo yao gerezan (washafumua kila kitu), jana nimemuona katepeta kabisa, ukamanda wote kwishinei, akirudi uraiani hawezi tena kuropoka, nyie ngojen mtaona,
Yale hayakuwa maneno machafu bali vitisho dhidi ya mwakilishi namba moja wa watanzania!! Alitishi usalama wa watanzania kwa ujumla wake.Zitto alivyo na siasa za bila kumtukana MTU
Wala kumvunjia heshima mtu
Alipaswa kumpa ushauri huo lema
Ili afanye siasa za akili na sio kutafuta kick kwa matusi
Kwa Elimu yako ni sawa unachowazaElimu yangu ndogo imefahamu kwamba hapo aliposema *mke wake ndio nguzo yake kwa sasa* ni dongo kwa chadema