TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Ni kuhusu uamuzi wa Bodi ya Rufaa za kodi juu ya African Barrick Gold(ABG).
kiongozi unawajulia sana chademaWakija pro-Chadema kwenye huu uzi watakuwa upande wa African Barrick Gold, na kuwatetea kuwa wameonewa.
Ni kweli ndiyo zao wewe wasome tu utaona.kiongozi unawajulia sana chadema