Vilevile nadhani CHADEMA wamekurupuka sana kumtolea uamuzi kwani iwapo kweli katiba ya CHAEMA inasema kuwa ukipeleka kesi mahakamani ukashindwa basi unavuliwa uanachama, ni afadhali wao wangekaa kimya tu ili wamuache Zito mwenyewe ndiye apime msingi ya katiba ya chama chake, tendo lake la kwenda mahakani na matokeo ya uamuzi wa mahakama. Huna haja ya kusukuma mzoga uzidi kuzama majini kama unajua kuwa tayari hauna uhai.
mmh kabla ya zitto kwenda mahakamani CDM hawakusimamia katiba!! yaani katiba inasimamia kwa vitu vya ku favor upande huu na inavunjwa kwa vitu ambavyo havi ku fevi
HAKI YA KWELI IPO KWA MUNGU DUNIA NI DHULUMATI.
PUMZIKA KWA AMANI RASTA MAN CHACHA WANGWE, JANA TAREHE 10 ZITTO KAFUTWA UANACHAMA NA WANACHAMA WALIOJIUNGA CHADEMA 2004. WAKATI ZITTO ANA ZAIDI YA MIKA 20 CDM.
Lema amehamia Chadema mwaka 2009 Lakini ana nguvu kupita wakina Slaa na Mdee kisa ni kipenzi cha Mtei na Mbowe
Kwa stahili hili hii ya ubabe,Chadema bado sana kuchukua nchi.Bado chama hakijakomaa kidemokrasia.
wachaga walishaamua kumng'oa zito baada ya yeye nakundi lake kutaka katiba ya chama ifanyiwe marekebisho pia safu ya juu ya viongoz ibadirishwe...!,mbaya zaid wanasiasa wakibongo wana tabia ya kukomoana bila kujali madhara ya pande zote...!uwepo wa zito chadema ulikuwa na umuhim wake,hivyo kukurupuka kumng'oa huenda pia kukaleta madhara makubwa sana kwa chama kuliko watu wanavyo dhania,km kumegeka kwa wafuas,siri za chama kuwa pasipo huska km na yeye ataamua kukomoa,jino kwa jino,akuanzae mmalize... n.k
Tuingalie kutumia kurunzi ya leadership qualities and skills. Baada ya kwenda mahakamani na kuweka pingamizi, Zito alikuwa amejepiatia muda wa zaidi ya mwaka mmoja kujionesha kama kiongozi mzuri kwa kufanya mambo mawili tu: (a) kuunganisha tena wanachama wa chama chake ambao walikuwa wamekorofishana kutoka na ule "Mkakati;" halafu, (b) baada ya kukamilisha hilo la (a) hapo juu angekwenda mahakani kufuta kesi na kusema sisi sote na wamoja na tuna lengo moja, malumbano hayafai kwa hiyo hakuna kesi baina yetu. Ila inaonekana Zitto alikuwa ama ana-buy time ili aendelee kuwa mbunge, au alikuwa na confidence kubwa sana kuwa atashinda kesi ambayo sote tunafahamu kuwa ameshindwa. Ku-buy time ili aendelee kuwa mbunge siyo sifa nzuri ya uongozi kwani unakuwa ni kiongozi anayeangalia maslahi yake tu. Vile vile kuwa na overconfidence kuwa utashinda halafu ukashindwa pia siyo sifa nzuri ya uongozi kwa utakuwa ni kiongozi atakayepeleka watu wake pabaya.
Vilevile nadhani CHADEMA wamekurupuka sana kumtolea uamuzi kwani iwapo kweli katiba ya CHAEMA inasema kuwa ukipeleka kesi mahakamani ukashindwa basi unavuliwa uanachama, ni afadhali wao wangekaa kimya tu ili wamuache Zito mwenyewe ndiye apime msingi ya katiba ya chama chake, tendo lake la kwenda mahakani na matokeo ya uamuzi wa mahakama. Huna haja ya kusukuma mzoga uzidi kuzama majini kama unajua kuwa tayari hauna uhai.
...
Vilevile nadhani CHADEMA wamekurupuka sana kumtolea uamuzi kwani iwapo kweli katiba ya CHADEMA inasema kuwa ukipeleka kesi mahakamani ukashindwa basi unavuliwa uanachama, ni afadhali wao wangekaa kimya tu ili wamuache Zitto mwenyewe ndiye apime msingi ya katiba ya chama chake, tendo lake la kwenda mahakani na matokeo ya uamuzi wa mahakama.
....
wachaga walishaamua kumng'oa zito baada ya yeye nakundi lake kutaka katiba ya chama ifanyiwe marekebisho pia safu ya juu ya viongoz ibadirishwe...!,mbaya zaid wanasiasa wakibongo wana tabia ya kukomoana bila kujali madhara ya pande zote...!uwepo wa zito chadema ulikuwa na umuhim wake,hivyo kukurupuka kumng'oa huenda pia kukaleta madhara makubwa sana kwa chama kuliko watu wanavyo dhania,km kumegeka kwa wafuas,siri za chama kuwa pasipo huska km na yeye ataamua kukomoa,jino kwa jino,akuanzae mmalize... n.k
wachaga walishaamua kumng'oa zito baada ya yeye nakundi lake kutaka katiba ya chama ifanyiwe marekebisho pia safu ya juu ya viongoz ibadirishwe...!,mbaya zaid wanasiasa wakibongo wana tabia ya kukomoana bila kujali madhara ya pande zote...!uwepo wa zito chadema ulikuwa na umuhim wake,hivyo kukurupuka kumng'oa huenda pia kukaleta madhara makubwa sana kwa chama kuliko watu wanavyo dhania,km kumegeka kwa wafuas,siri za chama kuwa pasipo huska km na yeye ataamua kukomoa,jino kwa jino,akuanzae mmalize... n.k
Kwa nini ni wana CCM ndio wanaona umuhimu wa Zitto kubaki CHADEMA?wachaga walishaamua kumng'oa zito baada ya yeye nakundi lake kutaka katiba ya chama ifanyiwe marekebisho pia safu ya juu ya viongoz ibadirishwe...!,mbaya zaid wanasiasa wakibongo wana tabia ya kukomoana bila kujali madhara ya pande zote...!uwepo wa zito chadema ulikuwa na umuhim wake,hivyo kukurupuka kumng'oa huenda pia kukaleta madhara makubwa sana kwa chama kuliko watu wanavyo dhania,km kumegeka kwa wafuas,siri za chama kuwa pasipo huska km na yeye ataamua kukomoa,jino kwa jino,akuanzae mmalize... n.k
Tuingalie kutumia kurunzi ya leadership qualities and skills. Baada ya kwenda mahakamani na kuweka pingamizi, Zito alikuwa amejepiatia muda wa zaidi ya mwaka mmoja kujionesha kama kiongozi mzuri kwa kufanya mambo mawili tu:
(a) Kuunganisha tena wanachama wa chama chake ambao walikuwa wamekorofishana kutoka na ule "Mkakati;" halafu,
(b) Baada ya kukamilisha hilo la (a) hapo juu angekwenda mahakani kufuta kesi na kusema sisi sote na wamoja na tuna lengo moja, malumbano hayafai kwa hiyo hakuna kesi baina yetu.
Ila inaonekana Zitto alikuwa ama ana-buy time ili aendelee kuwa mbunge, au alikuwa na confidence kubwa sana kuwa atashinda kesi ambayo sote tunafahamu kuwa ameshindwa.
Ku-buy time ili aendelee kuwa mbunge siyo sifa nzuri ya uongozi kwani unakuwa ni kiongozi anayeangalia maslahi yake tu.
Vile vile kuwa na overconfidence kuwa utashinda halafu ukashindwa pia siyo sifa nzuri ya uongozi kwa utakuwa ni kiongozi atakayepeleka watu wake pabaya.
Vilevile nadhani CHADEMA wamekurupuka sana kumtolea uamuzi kwani iwapo kweli katiba ya CHADEMA inasema kuwa ukipeleka kesi mahakamani ukashindwa basi unavuliwa uanachama, ni afadhali wao wangekaa kimya tu ili wamuache Zitto mwenyewe ndiye apime msingi ya katiba ya chama chake, tendo lake la kwenda mahakani na matokeo ya uamuzi wa mahakama.
Huna haja ya kusukuma mzoga uzidi kuzama majini kama unajua kuwa tayari hauna uhai.
mmh kabla ya zitto kwenda mahakamani CDM hawakusimamia katiba!! yaani katiba inasimamia kwa vitu vya ku favor upande huu na inavunjwa kwa vitu ambavyo havi ku fevi
Tuingalie kutumia kurunzi ya leadership qualities and skills. Baada ya kwenda mahakamani na kuweka pingamizi, Zito alikuwa amejepiatia muda wa zaidi ya mwaka mmoja kujionesha kama kiongozi mzuri kwa kufanya mambo mawili tu:
(a) Kuunganisha tena wanachama wa chama chake ambao walikuwa wamekorofishana kutoka na ule "Mkakati;" halafu,
(b) Baada ya kukamilisha hilo la (a) hapo juu angekwenda mahakani kufuta kesi na kusema sisi sote na wamoja na tuna lengo moja, malumbano hayafai kwa hiyo hakuna kesi baina yetu.
Ila inaonekana Zitto alikuwa ama ana-buy time ili aendelee kuwa mbunge, au alikuwa na confidence kubwa sana kuwa atashinda kesi ambayo sote tunafahamu kuwa ameshindwa.
Ku-buy time ili aendelee kuwa mbunge siyo sifa nzuri ya uongozi kwani unakuwa ni kiongozi anayeangalia maslahi yake tu.
Vile vile kuwa na overconfidence kuwa utashinda halafu ukashindwa pia siyo sifa nzuri ya uongozi kwa utakuwa ni kiongozi atakayepeleka watu wake pabaya.
Vilevile nadhani CHADEMA wamekurupuka sana kumtolea uamuzi kwani iwapo kweli katiba ya CHADEMA inasema kuwa ukipeleka kesi mahakamani ukashindwa basi unavuliwa uanachama, ni afadhali wao wangekaa kimya tu ili wamuache Zitto mwenyewe ndiye apime msingi ya katiba ya chama chake, tendo lake la kwenda mahakani na matokeo ya uamuzi wa mahakama.
Huna haja ya kusukuma mzoga uzidi kuzama majini kama unajua kuwa tayari hauna uhai.
Duuhh, kazi kweli kweli. Huku nchi hii inahitaji chama na kiongozi mwenye kuchukua maamuzi huku Chadema wababe. Kama chama kimefuata Katiba na mahakama ikaridhia ubabe upo wapi?Kwa stahili hili hii ya ubabe,Chadema bado sana kuchukua nchi.Bado chama hakijakomaa kidemokrasia.