Sio rahisi kama upeo wako unavyofikilia,siasa is more than jf comments,siasa ni vitendo
ACTIONS SPEAKS LOUDER THAN WORDS.....
Ha ha hahaha! Nilitegemea angekwenda kumshitaki Yericko Nyerere, ila amepima kina cha maji cha Yericko akaona ni sawa na kuzamia meli ya mgiriki, sasa kaona kwa Kilewo ndo mteremko.
Bado naamini Yericko Nyerere ni kiboko ya Zitto.
Sasa huyu Henry Kileo mbona muoga hivi?! Ni hivi karibuni tu aliingia na VUN yake akisema yeye haogopi polisi.
Jana anasema hajui ni waraka gani tena? MACHADEMA kweli ni majanga! Mimi nilidhani angesema ule waraka ni wakweli na yote yaliyomo ndani ili ionekane kweli Zitto ni msaliti.
Sasa anapokanusha kuujua ule waraka kutoka makao makuu, inamaanisha zile shutuma sio za kweli?
Kweli mungu hamfichi mnafiki! Utataja chanzo cha huo waraka kabla hujapost kwenye blog yako. Labda usema ni hiyo blog sio ya kwako!
Mnafiki ni mbaya kuliko muuaji.
Licha ya kubaka kapuya yupo mswazi anaendeleza dozi kwa vimada.
Jitayarishe uende ukasema ule uzi uliounzisha JF wa tuhuma kwa Zitto chanzo chake ni wapi. Au uliutunga mwenyewe?
Lol,
Nimecheka sana,eti zitto apime kina cha maji cha yericko?
Acha kumkejeli yericko,hastahili kejeli kwa sasa huyu mpiga ripu,anastahili kuhurumiwa tuh,
We unadhan huyu wa kupoteza muda wa watu??huyo ni tapeli tuh thats why hata MODS WAMEAMUA KUMPOKONYA VERIFICATION ID YAKE
😎 😎
Inaelekea polisi wanarespond haraka kwa Mheshimiwa kulinganisha na wengine wanapopeleka madai yao!
Alibaka wapi unauthibitisho?Licha ya kubaka kapuya yupo mswazi anaendeleza dozi kwa vimada.
Wote tunajua kuwa Ben Saanane ni verified user member wa JF.... Ombi laku ni kumtaka aje athibitishe kama kweli alitumiwa mgao wa vijisenti kutoka kwa Prezooo! Na zilikuwa kwa lengo lipi? Kama alilipwa kwa kupiga deki nyumbani kwa ZZK - Prezooo atueleze... Plz Mods muiteni Ben Saanane aje kujibu......
Mimi tayari nilishahojiwa, wala sina hofu,
ninafurahi kuona ndugu yetu akihangaika,
Kesi ya msingi iliyopo polisi siyo kile kinachoitwa ripoti, bali ni kutishiwa maisha kwa zitto.
Kumbuka gazeti la Nipashe la jana na Jamhuri yameitoa ile ripoti bila kuweka chanzo, hivyo wahariri wake wanajua ukweli wake,
Polisi sio wanasiasa wao wanatafuta jinai ya msingi iliyofunguliwa na Zitto, ripoti ni sehemu tu ya maswali ukiwa pale polisi.
Zingatia kuwa Zitto alishautangazia umma kuwa ameshampata aliyemtishia akamtaja kwa jina kuwa ni Theo Mtahaba, na zaidi akasema amemjua hadi wasifu na kipato chake.
Kileo leo hii hana kesi ya kujibu zaidi ni kumkumbusha mpelele tu kuwa wamwambie Zitto awaonyeshe mr Mtahaba alipo na kesi ya msingi ipelekwe mahakamani.
Tuache porojo tulisaidie jeshi la polisi lifanikiwe kumpata Mr Mtahaba aliyemtishia maisha Zitto
Huyu msaliti anatapatapa sana. Ngoja tumfukuze rasmi chadema.
Mods mnaweza kumjibu huyo kijana?
cc Invisible