Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Kwani wewe ndiyo unatafsiri sheria au wewe ndiye mpelelezi polisi na mahakama ndiyo watatoa ufafanuzi juu ya haya mambo wewe kula ndizi na kahawa tu huko machame.Zitto hana ushahidi wa kumtia hatiani Henry Kilewo, hiyo ni kutapa tapa maana hicho anachokilalamikia hakionekani.
Hii sasa itamuondoa bwana Zitto kabisa kwenye siasa za Tanzania,
Namuonea huruma sana kwani ataumbuka zaidi, ni heri atafute mshauri katika suala hili lakini kukimbilia polisi ni kukaribisha mauti ya kisiasa.
WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikimwandikia Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe barua ya kumtaka ajieleze dhidi ya tuhuma zinazomkabili, yeye ameamua kukimbilia polisi akimshitaki mmoja wa viongozi wenzake.
Habari za kuaminika zimedai kuwa Zitto ambaye hivi karibuni alivuliwa cheo chake cha unaibu katibu mkuu wa CHADEMA, inadaiwa amefungua mashitaka polisi akimtuhumu Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kileo kwa madai ya kusambaza waraka katika mitandao ya kijamii.
Akithibitisha tukio hilo, wakili wa Kileo, Peter Kibatara, alisema kuwa mteja wake amemriwa kufika makao makuu ya Jeshi la Polisi leo Jumatano saa nane mchana na kuonana na mmoja wa maofisa wa juu wa jeshi hilo, aliyetajwa kwa jina moja tu la Mbutta, kufuatia mashitaka yaliyofunguliwa na Zitto dhidi yake.
Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu, Kileo alikiri kuitwa polisi, ingawa alidai hajui ni waraka gani anaotuhumiwa kuusambaza unaomchafua Zitto.
Kwa kweli sijui hata mimi ni waraka gani, ingawa hivi karibuni kulikuwa na waraka wa siri uliodaiwa kutoka CHADEMA, na ambao ulijaa tuhuma za usaliti. Lakini huo tuliishaukana siku nyingi. Labda kuna mwingine, alisema Kileo.
Zitto kutwa nzima ya jana hakuweza kupatikana kwa njia ya simu kufafanua mashitaka aliyofungua polisi. Simu zake zote za kiganjani zilikuwa zimezimwa.
-Tanzania daima.
Sio rahisi kama upeo wako unavyofikilia,siasa is more than jf comments,siasa ni vitendoHii sasa itamuondoa bwana Zitto kabisa kwenye siasa za Tanzania,
Namuonea huruma sana kwani ataumbuka zaidi, ni heri atafute mshauri katika suala hili lakini kukimbilia polisi ni kukaribisha mauti ya kisiasa.
Hii sasa itamuondoa bwana Zitto kabisa kwenye siasa za Tanzania,
Namuonea huruma sana kwani ataumbuka zaidi, ni heri atafute mshauri katika suala hili lakini kukimbilia polisi ni kukaribisha mauti ya kisiasa.
ile email ya kina Nchimbi inasema hii mitoto misumbufu inabidi ipelekwe selo
Mimi hapa ndio napozidi kumuona Zitto ndumi la kuwili,kwa sababu kwenye press conference hakukanusha wala kufafanua waraka huu wa yeye kuhongwa pesa na pia kushirikiana na TISS na hata hajazungumzia uhusiano wake na Jack Zoka na Ighondu na mnyumbuliko wa pesa hizo kutoka NMB kwenda Ujerumani kwa Andrea na pia kuwatumia wakina Kitila,Mwampamba,Mchange,Ben Saanane,Juliana Shonza etc.
Baadala yake kakimbilia Polisi na kufungua defamation case ili suala hili liishe kimya kimya na kuepusha kwa Zitto kufafanua bali Kileo na obviously Polisi inajulikana kwenye siasa inavyotumika!!
Ben Saanane upo kwenye waraka ule kuwa ulitumiwa pesa na Zitto,please tueleze ulipewa kwa minajili gani??!!#### BEN SAANANE KAMA NA WEWE NI MMOJA WA WAPOKEA HUO MLUNGULA MAANA YAKE NA WEWE NI MIONGONI MWA WALE WALE WANAFIKI WASIOFAA NDANI YA CHAMA NI BUSARA UKAJIENGUA MAPEMA WAKABAKI WACHACHE WALIO SAFI AU FAFANULIA WANA CDM DHIDI YA SUALA HiLI
Kwani wewe ndiyo unatafsiri sheria au wewe ndiye mpelelezi polisi na mahakama ndiyo watatoa ufafanuzi juu ya haya mambo wewe kula ndizi na kahawa tu huko machame.
Tulizana wewe subiri kwenda segerea Zitto hawewezi kutaka huruma kutoka kwako, teh teh teh kumekucha.Hii sasa itamuondoa bwana Zitto kabisa kwenye siasa za Tanzania,
Namuonea huruma sana kwani ataumbuka zaidi, ni heri atafute mshauri katika suala hili lakini kukimbilia polisi ni kukaribisha mauti ya kisiasa.
Hii sasa itamuondoa bwana Zitto kabisa kwenye siasa za Tanzania,
Namuonea huruma sana kwani ataumbuka zaidi, ni heri atafute mshauri katika suala hili lakini kukimbilia polisi ni kukaribisha mauti ya kisiasa.
Licha ya kubaka kapuya yupo mswazi anaendeleza dozi kwa vimada.
Kwani wewe ndiyo unatafsiri sheria au wewe ndiye mpelelezi polisi na mahakama ndiyo watatoa ufafanuzi juu ya haya mambo wewe kula ndizi na kahawa tu huko machame.
usimchokoze kamanda Ben,ana ushahidi mtamu zaidi ya sms ya mpesa.Zitto anasubiriwa kwny mahakama ya wananchi
Parakatatumba za chadema zinaendelea
Kwani wewe ndiyo unatafsiri sheria au wewe ndiye mpelelezi polisi na mahakama ndiyo watatoa ufafanuzi juu ya haya mambo wewe kula ndizi na kahawa tu huko machame.
Tulizana wewe subiri kwenda segerea Zitto hawewezi kutaka huruma kutoka kwako, teh teh teh kumekucha.