Ataandika kwenye Tweet kama jana , kuwa hajawahi kufanya mkutano wa hadhara Mbeya , kama alivyosema jana kuhusu Tunduma .
kwahiyo adui yenu sio CCM tena,,, sasa mnapambana na ACT.. CCM itatawala mpaka Yesu arudi!!!!!!
Acha Upuuzi wewe,Nimemsikia kamanda aliyechukuwa video na simu akiwapanga wenzake .."kasimamie kule".... hahahaha! hivi ninyi mna akili kweli..?
mnajipanga watu 5 sijui mnakaa/ mnasimama nyuma mnawasha vijisimu venu! mnazomea wenyewe... mnakuja na Heading JF zito azomewa Mbeya !.... hahahaha! utoto mwengine bana...
Chadema ni kama mwanamke aliye achwa, mume akaoa mke mwengine , wewe uliyeachwa unaanza kuweka kinyongo....
Zito anawaumiza sana kichwa CDM
Tunapambana na CCM na Matawi yake!kwahiyo adui yenu sio CCM tena,,, sasa mnapambana na ACT.. CCM itatawala mpaka Yesu arudi!!!!!!
Nimecheka sana Ahahaha sasa hawa makamanda wanajikusanya wao na simu yao ya Tecno wanachukuwa video huku wanapiga kelele Zitto yupo mita mia wala hana habari nao.Nimemsikia kamanda aliyechukuwa video na simu akiwapanga wenzake .."kasimamie kule".... hahahaha! hivi ninyi mna akili kweli..?
mnajipanga watu 5 sijui mnakaa/ mnasimama nyuma mnawasha vijisimu venu! mnazomea wenyewe... mnakuja na Heading JF zito azomewa Mbeya !.... hahahaha! utoto mwengine bana...
Chadema ni kama mwanamke aliye achwa, mume akaoa mke mwengine , wewe uliyeachwa unaanza kuweka kinyongo....
Zito anawaumiza sana kichwa CDM
Nimemsikia kamanda aliyechukuwa video na simu akiwapanga wenzake .."kasimamie kule".... hahahaha! hivi ninyi mna akili kweli..?

You are too naive brother.Acha Upuuzi wewe,
CHADEMA inaingiaje hapo?
mkuu sikatai kuwa wewe ni swahiba wa Zito lakini hii ya Mbeya mjini iko very clear!alizomewa na kuambiwa msaliti!Muda mnaotumia kujitekenya na kucheka wenyewe, mngetumia muda huu kupanga mikakati ya ushindi na uchaguzi ndio umefika,
Subirini matokeo ya mwisho mje kulia kama mmeibiwa kura,
Ni juha pekee asiejua nguvu mnayotumia kuaminisha watu kama Zitto kazomewa, nani hajui kazi yenu?
Mmesahau lile dili la kumteka Slaa pale ufipa lilivyobuma?
Hoja ni kuzomewa hayo ya idadi na Umbali aliokuwamo hukuondoi Ukweli kuwa alizomewa,Katika hii video nimegundua hivi,
1.Wanaopiga kelele ni ka section flani ka watu wasiozidi kumi ambao inaonekana walijipanga(unaweza kusikia mmoja anamwambia mchukua video "kasimamie huku")
2.ZZK yuko distance ya mbali ambako inaonekana mkutano ukiendelea na watu wakisikiliza.
3.Kwa haraka haraka nimemsikia ZZK akisema "tunailaumu serikali kwamba wanatumia mashangingi kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni naye anaendelea kutumia kwa hela hizohizo za serikali nani Msaliti?" This is very sensible,unatakiwa upinge kitu sio kwa mameno bali kwa vitendo,ifike kipindi wananchi waamke Chadema ni scum,hakuna mwenye nia ya kweli kutoka Chadema wa kutaka kumkomboa mtanzania,hayo yanajidhihirisha kwa vitendo vyao.
http://www.youtube.com/watch?v=Sf1PaBhS2Ms iliku ni aibu ya mwaka. Zitto alipo zomewa mbeya mjini, najua atasema sio yeye lakini ushahidi huo hapo juu.
Mods mnaweza ifuta kama mtahisi inawakera kama mlivyo fanya kwenye ile ya Tunduma.Lakini ukweli hauta futika kamwe