Zitto alipuka tena bungeni

Watanzania tukisema tuwaunge mkono wapigania raslimali ni mwaka mmoja tu mafanikio tutayaona but tatizo kila mpiganaji hapewi support, let join our hand and support Zitto for what he is doing.
 
Muelewe Zitto mkuu.....alichosema ni kumkumbusha mada kuwa anachosema waziri sio kweli na ushahidi uko kwenyetaarifa ya kamati ya Zitto ambayo speaker anayo ofisini kwake

ina maana speaker kama ilivyo 'kwa bahati mbaya sana'waafrika wengi hatuna utamaduni wa kusoma,mfano wa karibu ni rais kusaini muswada kuwa sheria bila kuusoma.Mwanazuoni mashuhuri pof.ali mazrui alipata kusema UKITAKA KUMFICHA KITU MWAFRIKA WALA USIHANGAIKE SANA WEKA KWENYE MAANDISHI.
 
Ningeshauri katika mapendekezo ya katiba mpya spika wa bunge la jamhuri la muungano wa tanzania asiwe ametoka kwenye chama chochote. Awe independent ili aweze kusimamia vizuri shughuli za bunge maana sasa hivi huyu spika anaonekana kuitetea chama chake tawala na serikali kwa hiyo haki za kimsingi zinazotolewa na wabunge hasa wa upinzani anakua anaziziba. Hapo hakuna haki wala usawa.
 
Nini maana ya kufanya re-submition? ni uchizi na kwamba hata huyo mama si mtendaji! yaani kamati itakuwa inafanya kazi ya kure-submit everyday! shame mama makinda hebu tafadhali jiheshimu na waheshimu pia watanzania! mama tunauchungu sana nawe jinsi ambavyo unawanyima wabunge wetu haki zakusema ukweli!
Wadau huyu mama ikiwezekana atunguliwe mawe kama popo!
 
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
We ndo una masifa kuleta upinzani wa kijinga...
Nenda kampikie mumeo acha wanaume wafanye kazi
:shut-mouth::shut-mouth😡##$$%%^^%&^&*&^^^%$#@@@:shut-mouth::shut-mouth:
 
Inabidi tufanye lolote lile kwa vyovyote vile tuwan'goe hawa wakoloni weusi CCm madarakani la sivyo hali itazidi kuwa mbaya na hichi kimama kinatumika vibaya yaani kimesahau watanzania kazi yake ni kulinda tu hao mafisadi, yaani kana roho mbaya kama sura yake.
 

na kwa taarifa yake, maandiko hayana tatizo, watumiaji wadokozi wa maandiko ndo wanao yakosea adabu kwa kuyatumia ndivyo sivyo. Paulo anamwambia Timoteo, "ukitumia kwa halali Neno la kweli" natahadharisha: huna uhalali wa kuitumia Biblia ama yaliyo andikwa humo kama si muumini na mfuasi wake. Kama wewe ni muumini wa "Udaku" chukua kotesheni huko, utuachie Biblia, please.
 
Last edited by a moderator:
Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema

"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"

Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika



Mkuu ni ngumu sana hiyo, je wewe unaweza?
The way the cookie crumbles
 
Natamani huyu mama angezaliwa iran....tungeshamsahau sisi. ANABOA
 
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Wewe Judi unashirika moja na wezi nini, mtu alete taarifa za kutuokoa na kuokoa taifa wewe unaleta za kuleta, vipi wewe???????

 
Hilo ni swali nyeti, iweje asisome taarifa aliyoletewa anapostuliwa anadai taarifa tena kwa maandishai akiambiwa anayo anasema iletwe tena kwa maandishi kwa vipi?????Is she serious indeed,or trying to water down the well researched data and motion by our diligent Brother Zito?????
 
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.

kutafuna sio issue sana, ila kama unatafuna na unaowaongoza hawapati shida kama za sasa is well and good! hivyo nampongeza kijana kwa kazi njema ya kujitoa muhanga "anajiamini" maana marehemu A.Chifupa walimuondoa sekunde tu
 
uyo mama spika inamana rpoti ya kwnza alfungia mandaz nin.huo ni ukiazi huyu spika angekua mshka kifimbo kile pale mbele mjengon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…