Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,644
- 2,273
Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema
"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"
Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Wao TUNAWAPENDA sana, ila tunachukizwa na MAOVU YAO. Hatukuwahi kuelekezwa popote pale kuupenda UOVU.
Kwa maelezo ya Zitto ni kwamba tayari kamati yake walishawasilisha taarifa kwa ofice ya Speaker lakini cha kusikitisha Speaker anamtaka Zitto awasilishe tena (re-submit) taarifa hizo kwa speaker! Hapa napata wasiwasi kama kweli Speaker ana uwezo wa kuongoza bunge maana anaonekana kutofanyia kazi taarifa anazopewa na kamati za bunge!
Mbona Salim Ahmed ni Handsome ilikuwaje akazaa naye?
Enzi zake labda alikuwa mashine
We nenda kauze unachouzaga hasa hicho ndani ya sketi
Zito huwa anawasiliana nini na Rostam??..
Chezea TISS wewe!!
mkuu mbona una matusi kama Sugu!!kuwa mstaharabu.
Mhe Zito anasema mawaziri wa Madini wanasema uongo,anamwambia apeleke kwa maandishi,wakati walishapeleka kupitia kamati yake,maana yake nini!?
Kwa hiyo unataka akae kimya kama walivyokaa kimya wajinga wenzio ndani ya ccm kwa miaka 50 na kusababisha nyie dada zetu kujifungulia sakafuni kwa kuwa serikali goigoi ya ccm inashindwa kununua hata vitanda hospitalini. Nahisi wewe utakuwa ni yule kimada aliyemuibia Malima pale Moro unamlinda aendelee kubaki madarakani ukwapue tena. Katika mapambano ya ukombozi yeyote anayeonyesha njia ya kukomboa taifa anaungwa mkono na sio kubezwa.uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
kipi hicho? Kyonka obahyo? nimbona enondo za Zitto za kwiya omumpako!lol
mkuu mbona una matusi kama Sugu!!kuwa mstaharabu.
Mi naona tupiganie uhuru upya manake I don't think we are free. Mbona mambo ni ya kibepari tu.