uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Hizi zilikuwa ni techniques za wazungu wakati wanakuja kulitawala bara la Africa wakaona waweke mstari huo kwenye biblia ili msiwavurumishie mikuki na pinde wakoloni. Hawa jamaa walikuwa na akili sana, eti ukipigwa kulia geuza na kushoto. Ha ha ha haa. Kuna haja ya maandiko matakatifu kuandikwa upya kwa context yetu ya sasa. Walioandika wakati huo walijiangalia zaidi wao.Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema
"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"
Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika
alichosema Zitto ni kuwa hizo taarifa zipo kwenye ripoti ya kamati yake ambayo waliiwakilisha kwa Speaker...cha ajabu ni pale tuZitto alipomkumbusha madam speaker kuwa huo ushahidi uko kwenye makabati yake lkn speaker akang'ang'ani iletwe tena
Mbona una weweseka mpaka watoa povu bure wakati alichoambiwa ni alete upya kwa maandishi. Na yeye zitto amekubali shida ipo wapi?
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Wewe nikilaza benchot unafurahia raslimalizetu zikiliwa na wachache?hakika wewe ni mbaya kuliko ukoma na kuliko hao walaji
Walishachoka kusoma! kazi za vijana wanang'ang'ania hadi wahindwe kuona hata title za MOU. Madudu yote yako kwenye report za kamati ya bunge, hawayasomi! This is bull shit!alichosema Zitto ni kuwa hizo taarifa zipo kwenye ripoti ya kamati yake ambayo waliiwakilisha kwa Speaker...cha ajabu ni pale tuZitto alipomkumbusha madam speaker kuwa huo ushahidi uko kwenye makabati yake lkn speaker akang'ang'ani iletwe tena
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
source madam.
Mkuu kama huwezi si uende FB ndiko kwenye kuuza sura na udaku?gazeti tukufu la chadema...
Yani huyu Speaker akiona Zitto/Lissu wamesimama basi yeye anakuwa na majibu ya kukataa tu....hili jambo ni kama limemtia aibu maana Zitto kamwuliza tulete tena(re-submit) nilitegemea speaker angeshtuka lakini kwa mshangao kasema taarifa iletwe tena...hapa nakubaliana na ww kuwa huyu mama hanaga muda wa kusoma hizo ripoti anazopewa
Ela za Barrick Zitto anazitafuna???? kivipi? hii ni hoja mpya ni vyema uitolee ufafanuzi zaidi na ni vizuri ukaileta kama topic mpya tukaijadili.uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema
"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"
Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika