Zitto akosoa utafiti wa Twaweza

Zitto akosoa utafiti wa Twaweza

Jamani this is serious kwa kweli!!!halafu
tusipobadilika sisi wasomi siku zijazo
tutadhalilika mitani!!if someone has done
a research which are statistically
significant or not significant ,to challenge
the results you need to do your research
or go through the literature (which
summarize other researches) !!! Sasa mtu
apinga utafiti kwa maneno ya midomoni
tu??? come on guys!!!!!acheni hizo!!!ndo
maana unakuta Mungu Wa form two form
four for six failure anamtukana mtu Wa
PhD !!!this is serious!!!ni matokeo ya uvivu
Wa badhi ya watanzania!!!
 
Jamani this is serious kwa kweli!!!halafu
tusipobadilika sisi wasomi siku zijazo
tutadhalilika mitani!!if someone has done
a research which are statistically
significant or not significant ,to challenge
the results you need to do your research
or go through the literature (which
summarize other researches) !!! Sasa mtu
apinga utafiti kwa maneno ya midomoni
tu??? come on guys!!!!!acheni hizo!!!ndo
maana unakuta mtu Wa form two form
four form six failure anamtukana mtu Wa
PhD !!!this is serious!!!ni matokeo ya uvivu
Wa badhi ya watanzania!!!
 
Utafiti hukanushwa kwa utafiti na siyo kwa hisia au kudhani.

Hujafanya utafiti nyamaza usiseme kitu, huna mamlaka.

UKWELI NDIYO HUO
We bakia na huo ukweli wako wenye mashaka.
 
Huu utafiti wangefanyia tuu hata hapo ofisini kwao waone kama watapta hiyo %
 
Tafiti za twaweza nishaamua kutozisikiliza wala kuzifuatilia.ni Twaweza ni taasisi ya ccm. Nashangaa watu mnapoteza muda kuusoma na kuujadili.
 
UKAWA ni aibu,,,,, jamani Research hupingwa kwa Research, na maanisha utafiti wajambo daima unatenguliwa na utafiti mwingine wa kitu hicho hicho, na sio kwa kauli za wanasiasa
 
We bakia na huo ukweli wako wenye mashaka.
Kama una ukweli usio na mashaka ungeutoa. Ubishi wa kitoto utaukuta vijiweni ambako vijana ni stori tu za kutunga na kulazimisha kuwa kweli.
 
Lakini Twaweza walianza mambo haya tangu wakati wa kampeni za uchaguzi 2015,mie sishangai kwa tafiti hizi za twaweza na matokeo yake,most of the time hizi taasisi za utafiti uwa ziki-take sides awamu moja baada ya nyingine au mtu mmoja baada ya mwingine.To them Magu is the best hana mpinzani kwa hiyo wako tayari kumbeba kwa kila jambo.
 
Nyumbani kwetu watu 11 hatumkubali
Mtaani sijui ila ukienda pale kariakoo wanaomkubali hawatazidi 10 kati ya maelfu ya walio hapo Kariakoo
Kiongozi kuhusu Kariakoo usiseme kabisa yani ukitaka uwaudhi taja jina la huyo mtu,kwanza ameharibu kwa kuleta machinga wanapanga bidhaa hadi mlangoni na hawana wasiwasi halafu TRA wanataka watumie mashine wao wanasema waanze kwanza kuwapa machinga afu ndo wafate wao
 
Hawa twaweza wanawapa vijana kazi ya utafiti halafu pesa kidogo.vijana wanajifungia ndani wanapika data ndio maana tafiti zao hua ni za uongo.kuna vijana wanapika data cio mchezo
 
Twaweza ni Tawi la propaganda la Chama kikongwe...Sidhani kama kuna wasomi kweli katika hiyo Taasisi wao tafiti zao ni za kijinga jinga tuu na majibu ya kijinga kijinga tuu.
 
Ukitaka kuwajua baadhi ya Watanzania walio na unafiki uliyo pitiliza na roho ya kwa nini/mbaya - we tafuta glasi jaza maji nusu, sasa wahoji wanaonaje ujazo?

Sasa subiri majibu, utachoka - Watakao sema glass ni half empty watakuwa wengi mno kulinganisha na watakao sema glass ni half full - mfano wangu huu unarandana na baadhi ya Watanzania wanao pania kuona Utawala wa Dk.Magufuli unashindwa/pata matatizo as far as they're concern hakuna jambo jema katika utawaka wake - wanalalamika tuu, 24X7.

Ukijaribu kufatilia walalamishi utakuta wanafanya usanii tu kuzuga watu - kukosa Urais mteule wao ndiyo imekuwa nongwa, kila siku Magufuli this Magufuli that mpaka mnakuwa kero.
 
Ili kupata picha kamili ya jinsi Twaweza (au taasisi nyingine yoyote inayofanya tafiti kama hizi nchini) isivyoweza kutoa matokeo ya tafiti zao kwa uhuru, tafakari ni nini kingetokea kama 'utafiti' wao ungeonyesha, mathalan, kuwa kukubalika kwa Magufuli ni 40%. Mwaka 2005 serikali ilitishia kuifuta taasisi ya HakiElimu na kuipiga marufuku kuchapisha matokeo ya tafiti zake baada ya HakiElimu kufadhili matangazo ya Tv yaliyoonyesha ubovu wa utoaji wa elimu ya msingi nchini ambayo hayakuwafurahisha watawala. Kumbuka Sheria ya NGO (NGO Act 2002) inaipa serikali mamlaka ya kuifuta NGO yoyote wakati wowote!
 
Akija sijui Bansen Bana na REDET yake utamsikia,"Muheshimiwa anakubalika kwa asilimia 100"
Nyie subirieni muone maajabu ya utafiti wa awamu ya 5....
 
Back
Top Bottom