Mheshimiwa zito wewe ni msomi halafu mbobezi wa masuala ya tafiti. Na kwakuwa wewe ni candidate wa PhD tulitarajia ukosoe utafiti kisomi na si kisiasa. Tuelezee conformity and disconfirmity za findings with studies. Kwenye fani za tafiti mpingane kwa tafiti na sio blabla tu. Kwenye mambo ya kisayansi mnaleta siasa kazi kwelikweli.