Jibu hoja , msaliti wenu anaandamwa na jinamizi la usaliti anatafuta ntoke vipi hapo......
Bavicha mnakazi kubwa mnooooooooooo!kila mkiona jina la Zitto hata kama mnaku.nya lazima mtaacha ili muwahi kuja kurusha ngumi JF!
Hili jamaa ni pumbavu tu! Kama anaona hastahili hiyo hela kwa nini asikatae moja kwa moja? Eti haki yangu nitachukua inayobaki nitasaidia vituo! Shenzi type kabisa yaani hela unayoiita haramu unaenda kuchukulia umaarufu? Hiyo mimi naita ameipokea, wajinga tu ndo watakubaliana naye! Hela ile inalipwa kwa hundi sasa ikipitia kwenye akaunti yake si ameipokea huyu?
Kina Mbowe, Lema, Mnyika, kuchukuwa milioni 230 kila mmoja na kukaa kimya siyo wanafiki?
Mpuuzi kabis huyu ZZK. ili azigawe huko ocean rd na kwenye ujenzi wa hilo bweni la wasichana si lazima azipokee??
Kawadanganye shangazi zako wa mwandiga na sio hapa.
kina mbowe, lema, mnyika, kuchukuwa milioni 230 kila mmoja na kukaa kimya siyo wanafiki?
Hata hao unaowasema wewe watazirudisha kwenye jamii ni jambo zuri kwani tatizo nn, kinachotakiwa hapa ni uzalendo wa kweli! usiwasemee kua labda na wao watazipeleka kwenye jamii, waache watamke wao kama alivyo fanya zitto! tatizo wewe uchadema umekujaa, mtu anaonyesha uzalendo kwa vitendo ni bora! kwa hiyo unatakiwa kuwashaur wabunge wengine wawe na uzalendi wa vitendo, usipinge mazur kama wanavyofanya MASISIEM! au na wewe ni mtakaposho mbona unasapot ujinga.we unajua wabunge wengine wataenda kuzifanyia nini? je kama na wao wanazirudisha kwenye jamii? hapa alipaswa kutopokea kabisa ndo tumuone jembe
Acha kujivua ufahamu.Mbowe,Lissu na Mnyika wametulia tulii wanaisubiri kwa hamu na uchu wakufa mtu
Huna lolote wewe Bavicha msukule wa Mbowe na Slaa!Nalazimika kukuita bavicha kwakuwa akili zako zipo kibavicha bavicha! Zimetawaliwa na chuki,husda,majungu,roho ya kwanini na wivu KIKE!