AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Na mtalia sana wapuuzi nyie, Zitto kawakalia shingoni.
Punguani nyie wasaliti, lazima tule na nyie sahani moja.
Na mtalia sana wapuuzi nyie, Zitto kawakalia shingoni.
Na mtalia sana wapuuzi nyie, Zitto kawakalia shingoni.
Anazidi kuji zalilisha, bora ange kaa kimya tu.
Acha awqvue nguo CHADEMA, mpaka waombe poo.Anazidi kuji zalilisha, bora ange kaa kimya tu.
Chadema mwaka huu mnalo. Endeleeni kubebwa na UKAWA mkirogwa mkauvunja umoja wenu mtakuwa kama NLD.Msaliti huyu, kashapotea kisiasa hakuna wa kumuamini kibaraka wa CCM
Kamanda usipoaangalia Zitto atakufanya upate ungonjwa wa moyo, kwa siku unamtaja Zitto zaidi ya mara 30 hizi nguvu ungeziamishia kwenye kilimo sasa hivi ungekuwa mbali sana.Msaliti huyu, kashapotea kisiasa hakuna wa kumuamini kibaraka wa CCM
Msaliti huyu, kashapotea kisiasa hakuna wa kumuamini kibaraka wa CCM
Kamanda usipoaangalia Zitto atakunya upate ungonjwa wa moyo, kwa siku unamtaja Zitto zaidi ya mara 30 hizi nguvu ungeziamishia kwenye kilimo sasa hivi ungekuwa mbali sana.
Ukweli usio na shaka ni kuwa tangu Zitto afukuzwe CHADEMA - CHADEMA imekuwa salama sana, na kila jambo linaenda kama lilivyopangwa,
Vaa Uzalendo achana na wahuni wewe.
Ni dhahiri huyu jamaa ana matatizo. Just see how he personalize things. Nimeshindwa kuangalia video yote. Anataka wajinga watakaomsikiliza waamini kuwa hakuna kitu kingefanyika kwa mafanikio bungeni bila yeye. Eti taarifa ya Lembeli haikuwa na kitu na mimi ndio nikataka mawaziri wajumuishwe - matokeo yake Rais akawafukuza. Hii ni dharau kwa wabunge wenzake. Pia nimegundua huyu jamaa ni mshamba. The other day nilimuona na hummer (to me, this is a big sign ya ushamba). Angalia sofa lake la kichina, unless hapo si nyumbani kwake. Watu wa aina hii ndio wana approve barabara na majengo substandard simply kwa kuwa yana rangi za kung'aa e.g. UDOM, UDSM business school buildings etc. Kimsingi, mtaji mkubwa wa huyu jamaa ni watu wasiohoji mambo i.e. wajinga.
Punguani nyie wasaliti, lazima tule na nyie sahani moja.
Hahahahaha yaani kitaa cha Ufipa nasikia wanatembea na ndimu, wakisikia jina la zito tu ndimu zinaanza kutafunwa.