Zitto aitesa CHADEMA

Zitto aitesa CHADEMA

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,868
Reaction score
5,753
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa.
Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT.
Kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.
 
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.

CADAVERS wote hoja zao hazitofautiani.
 
Chama cha ukabila na ukanda actaha aka kigoma mwisho wa reli. Eti kabla uchaguzi huru na wademokrasia kama wanavyojinadi hawa wasaliti tayari washamtangaza mwenyekiti kuwa anatoka kigoma kwa wahaya. Wabinafsi na waroho wakubwa hawa. Mshindwe kwa Jina.la Yesu ktk ulaghai wenu wa nchi hii. Na hakika hamtasarvive.
 
Ningeshangaa kama Zitto angeondoka bila kufungasha vilago vyake.
 
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.

Bangi mbaya sana!
 
Sasa unataka vilago vya Zitto vibaki CHADEMA kwa ajili ya nini?.
 
kujiunga act si kurudi hatua 20 au miaka 20 nyuma?
 
Chama cha ukabila na ukanda actaha aka kigoma mwisho wa reli. Eti kabla uchaguzi huru na wademokrasia kama wanavyojinadi hawa wasaliti tayari washamtangaza mwenyekiti kuwa anatoka kigoma kwa wahaya. Wabinafsi na waroho wakubwa hawa. Mshindwe kwa Jina.la Yesu ktk ulaghai wenu wa nchi hii. Na hakika hamtasarvive.

kigoma hakuna wahaya.
 
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.

Buku 7 @work
 
Waajiri wa Nape ndio wasomi wa vyuo vikuu??Endeleeni kuganga njaa mtalaaniwa na vizazu vyenu kwa kutumika vibaya .

STUPID
 
Mna laana za wazazi wenu, rudini mkaombe radhi, usaliti mnaolifanyia taifa hata Mungu hapendi, huwezi kusema unaichukia ccm na kumbe unatumika kuibeba kupitia ACT.
 
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.

Kwa hiyo tuseme tunakataa nini na tunakubali nini?
Ni mapema kabisa, kama mtakumbuka, ilisemwa humu kuwa ACT ilianzishwa na watu flani. Lengo likiwa hawa kina nanihii wasiojulikana sawasawa watangulie, huku wakubwa zao kina Zito wakiangalaia upepo kwanza. Na ikasemwa kuwa watafuata baadaye kidogo kwani kuna mambo hayajakaa vizuri. Nakumbuka wengi walibisha sana tu. Sasa hii ya leo imetoka wapi?

Historia huwa inaanza kwa kufuatilia matukio ya saa, siku, wiki, mwezi na kuendelea. Ni ajabu kuwa kwa watanzania wengi hilo ni somo ambalo kwao halina umuhimu. Na ni kwa sababu hiyohiyo ndiyo maana asilimia kubwa ya watanzania wanashabikia ujinga kwa sababu wameshindwa kujua kuwa huo ni ujinga. Na huu ni msiba!
 
Udini,ukabila,ukanda na uroho wa madaraka ni vitu hatari sana kwa maendeleo ya cdm,wasipoviacha watazidi kudidimia cku baada ya cku
 
yaani aishukru mahakama...
Mkuu hivi ni vichekesho! Kama yeye kidume sii angefuta kesi yake ili ile hukumu ya kufukuzwa itekelezeke! Huku anataka na kule anataka ndio nini sasa? Halafu fa.la mmoja anakuja kusema hapa eti anaitesa Chadema! Sii aondoke basi! Huo ubunge wake ni wa Chadema lakini hawezi hata kukanyaga ofisi za Chadema hivi haoni aibu? Ni sawa na mke aliyekwenda mahakamani kupinga talaka na ikazuiwa kutolewa lakini mume hampi chakula cha usiku maana keshamuacha.
Uchawi wake apeleke hukohuko Mwandiga.
 
Mbona unapanick kaka!
Hapo ujue jamaa anacheza karata zake na huna cha kumfanya, in fact amewa-check mate!
Whats CHDEMAs next move?
NOTHING!
 
Back
Top Bottom