Mkuu huyu ndiye tumaini lililobaki kwa siasa zinazozingatia maslahi ya taifa,Benki Kuu imeitoza Benki ya Stanbic faini ya tshs 3bn kufuatia kuhusika kwake na sakata la #Hatifungani ya tshs 1.3trn. ( Kwa mujibu wa zitto faini hii ni kidogo kulingana na kosa walilofanya )
Hata hivyo mwaka umekatika Benki Kuu haiajaueleza umma hatua gani ilichukua dhidi ya Benki hiyo ya Stanbic kuhusu kuhusika kwake na utakatishaji wa fedha za akaunti ya #TegetaEscrow. Watanzania wana haki ya kujua
CANZO: Ukurasa wake wa FB
My take:
Tusubiri bunge lijalo tupate mengi zaidi kutoka kwa huyu nguli wa siasa za Issues Issues Issues......
Vinasaba vya usaliti ndiyo viamharibia sana huyu jamaa; vinginevyo ni Jembe! Tunasubiri cheche zake bungeni kwa hamu na shauku kubwa sana.Benki Kuu imeitoza Benki ya Stanbic faini ya tshs 3bn kufuatia kuhusika kwake na sakata la #Hatifungani ya tshs 1.3trn. ( Kwa mujibu wa zitto faini hii ni kidogo kulingana na kosa walilofanya )
Hata hivyo mwaka umekatika Benki Kuu haiajaueleza umma hatua gani ilichukua dhidi ya Benki hiyo ya Stanbic kuhusu kuhusika kwake na utakatishaji wa fedha za akaunti ya #TegetaEscrow. Watanzania wana haki ya kujua
CANZO: Ukurasa wake wa FB
My take:
Tusubiri bunge lijalo tupate mengi zaidi kutoka kwa huyu nguli wa siasa za Issues Issues Issues......
Ndio maana amewataka BOT wazungumzie ni hatua gani za kinidhamu zimechukuliwa juu yao......maana hii bank ya stanbic ni janga.Kama sijakosea ile fine ni kwaajili ya uhusika wa stanbic kwenye overpricing ya interest rate kwenye bond ambayo iliibuliwa na SFO na siyo issue ya tegeta escrow
Kwahiyo apiganie wapigwe fine nyingine ya Tegeta Escrow Scandal
Mbona kuna wabunge wengi tu wa Sisiem?Mkuu huyu ndiye tumaini lililobaki kwa siasa zinazozingatia maslahi ya taifa,
Kijana anayejikita kwenye nguvu ya hoja.
Neno usaliti hutumiwa na mahasimu wake tu; nakubaliana na maneno yako yote yanayoaanza baada ya neno "vinginevyo".Vinasaba vya usaliti ndiyo viamharibia sana huyu jamaa; vinginevyo ni Jembe! Tunasubiri cheche zake bungeni kwa hamu na shauku kubwa sana.
Hapo hujamuelewa Salary Slip kwa sababu huwa huna tabia ya kufikiri. Usanii anaousema ni huo wa Zitto. Yeye kama Mbunge na CEO wa chama (hata kama no kidogo sana) anao uwezo wa kuitisha press conference na kuyamwaga yaliyo moyoni huku akijibu maswali yao na habari hiyo ikapata mashiko.Mkuu japo huwa tunapishana kwenye hoja.....kwenye hili nakuunga mkono.
hiyo benki si wafilisiwe na kufukuzwa. benki gani imejaa wapiga dili kazi yao kuiba kwa mabilioni hela za umma? tatizo BOT jipu lishaiva zamani halijatumbuliwa.Benki Kuu imeitoza Benki ya Stanbic faini ya tshs 3bn kufuatia kuhusika kwake na sakata la #Hatifungani ya tshs 1.3trn. ( Kwa mujibu wa zitto faini hii ni kidogo kulingana na kosa walilofanya )
Hata hivyo mwaka umekatika Benki Kuu haiajaueleza umma hatua gani ilichukua dhidi ya Benki hiyo ya Stanbic kuhusu kuhusika kwake na utakatishaji wa fedha za akaunti ya #TegetaEscrow. Watanzania wana haki ya kujua
CHANZO: Ukurasa wake wa FB
My take:
Tusubiri bunge lijalo tupate mengi zaidi kutoka kwa huyu nguli wa siasa za Issues Issues Issues......
Kwani ile kesi waliyofungua CHADEMA ICC ilihusu nini? Hukumu haijatolewa bado?Zitto ni mnafiki mwingine mbona aendi mahakamani kutaka kuishinikiza serikari kufuata maazimio yaliyo pitishwa bunge
Kwa akili yako finyu na ya kinyumbu, unafikiri kuwa ili ujumbe uufikie umma basi ni lazima uitishe press conference...... Mitandao ya kijamii ina kazi ya kusambaza ujumbe kwa kasi zaidi na kwa gharama nafuu......Hapo hujamuelewa Salary Slip kwa sababu huwa huna tabia ya kufikiri. Usanii anaousema ni huo wa Zitto. Yeye kama Mbunge na CEO wa chama (hata kama no kidogo sana) anao uwezo wa kuitisha press conference na kuyamwaga yaliyo moyoni huku akijibu maswali yao na habari hiyo ikapata mashiko.
Lakini kusema eti mambo mazito kama hayo anahoji kwenye ukurasa wake wa FB huo no utoto na usanii. Gavana wa BOT au maofisa wengine wanaweza kutoa majibu mazito kwa hoja waliyoiona (kama wameiona) ukurasa wa FB? Hilo jambo ni kubwa na muhimu alihoji kwa njia sahihi na sio Facebook, aache utoto! Atakuwa lini huyu? au no ushamba haujamtoka? Basi itakuwa shida, miaka yote hii toka aje Shule za mjini bado tuu!
Kumbe unaandika post nyingi sana humu ila uwezo wako katika kuelewa ni mdogo ila unasukumwa na ushabiki na ubishi sijui wa Kiha au vipi!Kwa akili yako finyu na ya kinyumbu, unafikiri kuwa ili ujumbe uufikie umma basi ni lazima uitishe press conference...... Mitandao ya kijamii ina kazi ya kusambaza ujumbe kwa kasi zaidi na kwa gharama nafuu......
Unasahau hata magazeti siku hizi yanachapisha habari kuu kwa kunukuu yale yaandikwayo na wanasiasa katika mitandao ya kijamii........
Hoja kuu hapa sio zitto.....ni uadilifu wa bank ya stanbic....na adhabu stahiki wanayostahili kuipata kwa makosa ya kiufisadi......
Wabunge wengi wa ccm wana nidhamu ya woga wanaogopa kuiumbua serikali yao.Mbona kuna wabunge wengi tu wa Sisiem?