Zitto, ACT Wazalendo hatarini Kufilisiwa

UKITAKA KUWA NA MAWAZO MFU NA YASIOTANUKA PENDA SANA KUSOMA GAZETI LA TANZANIA DAIMA NA UHURU
 
UKITAKA KUWA NA MAWAZO MFU NA AKILI ILIYO DUMAA, PENDA SANA KUSOMA MAGAZETI YA TANZANIA DAIMA NA UHURU.
 
Sasa hili ndiyo jibu cha waliokuwa wakiuliza ACT ilikuw Inapata fedha wapi?. Jibu ni kwamba kumbe ACT ilikuwa inakopa
 
Sasa hili ndiyo jibu cha waliokuwa wakiuliza ACT ilikuw Inapata fedha wapi?. Jibu ni kwamba kumbe ACT ilikuwa inakopa

Ifahamike wazi ACT iliweka wagombea nchi nzima,kuanzia madiwani,wabunge na mgombea uRais.Fedha za mkopo zilielekezwa Kigoma,fedha za mgombea uRais nasikia zilitolewa na mkurugenzi fulani wa shirika la umma.
 
Wanamsema Zitto ili kuhalalisha kufilisiwa kwa bosi wao Mbowe, kwamba mbona hata Zitto kafilisiwa.

Ila kwa ninavyojua, Zitto ni mwanasiasa msomi, mchumi na mwelewa. Anajua anachofanya.
Wewe utakuwa ni mwana mwandiga tu
 
Inayodaiwa ni ACT wazalendo na siyo Zitto,kwa kuwa ACT inaelekea kufa na deni nalo linakufa.
 
Back
Top Bottom