Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,874
- 7,650
Hii njemba ina platforms nyingi sana atawasuprise ........Wanamsema Zitto ili kuhalalisha kufilisiwa kwa bosi wao Mbowe, kwamba mbona hata Zitto kafilisiwa.
Ila kwa ninavyojua, Zitto ni mwanasiasa msomi, mchumi na mwelewa. Anajua anachofanya.
Bora ya kufunguia maandazi kuliko Uhuru, Habari Leo,Majira na Tazama ambayo yanatia kinyaa.Anafilisiwa na Mbowe? Haya magazeti ya kufungia maandazi bora yafutwe tu.....