Zitto, ACT Wazalendo hatarini Kufilisiwa

Habari za ukweli hizo. Tanzania daima hawaandikagi habari za udaku kama gazeti la uhuru
 
Wanaaanza lini kumfilisi? Wakianza wiki hii pia sio mbaya,serikali ya sasa hivi hawachelewi sana katika utendaji wa kazi.
 
Sijaelewa ACT WAZALENDO inafilisiwa vipi? Je chama kilikuwa na mkopo bank kimeshindwa kurejesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…