Zitto acha udalali wa mauzo ya uhuru wa Freeman Mbowe

Chadema ndio madalali,mmepokea dola 100,000 kutoka open society ya kenya kwaajili ya kugharamia kesi ya Mbowe,ndio maana hamtaki kesi ifutwe maana kesi kwenu ni ulaji

Kwani aliyemfungulia kesi ya ugaidi Mbowe ni chadema?

Mnashindwa nini kuifuta kesi hiyo ya michongo kama mnaumia chadema kupata fedha hizo za kuendeshea kesi?

Mbowe na familia yake walikwisha toa kauli hadharani kuwa hawataomba msamaha,sasa ni kwa nini mnalazimisha mtu awaombe msamaha ikiwa kesi hiyo inaelekea ukingoni? Si mmwache afungwe kama mlivyo dhamira ili mfurahi.

Ni vema ungelificha ujinga wako huu maana sasa huu ni mpumbavu.
 
Muache ujinga na upumbavu wa kumtesa mbowe na kumpa kiburi cha kijinga mkila kuku na bia yeye yupo nyuma ya nondo ....

Mbowe anafamilia ,wazazi na watoto wanamtegema mnamjaza ujinga huku akipoteza raslimali zake ...

Mbowe shituka hii dunia imejaa wanafiki tu wanafurahi kukuona upo ndani wao wanakula kuku kwa mrija huku nje ...omba msamaha kwa mama ni msikivu uje tuendelee na maisha ....
Acha kukenua,tuambie Mbowe aombe msamaha kwa Samia akiwa amemkosea nini
 
Nani unamwita mbumbumbu wewe mpumbavu tu? Unataka kujua Chadema tunajivunia nini?
Chadema tunajivunia uwezo mkubwa wa akili Tulionao na nyie mnajivunia upumbavu mkubwa mlinao mkidhani Bunduki ndo zitawafanya mtawale milele,huyu alidhani atatawala miaka yote eti kisa jeshi linalipwa vizuri,muwe mnajifunza hata kwa wenzenu mpuuzi mkubwa wewe View attachment 2110692
Hata kama CCM ikitoka madarakani, chaggadema haitakuja kushika madarakani nchi hi. Let that sink in.

NEVERRRR
 
"Sakata la Freeman ni moja kati ya vitu vinavyoniumiza sana, Freeman amenilea, ninavyomuona yupo jela simuoni kama Mwenyekiti wa CHADEMA, namuona kama Kaka yangu, nimefanya jitihada kuhakikisha anatoka Jela na kila nilichofanya kina ruhusa ya Mbowe, nimeenda Jela na nimeongea nae kumuambia nataka kufanya hivi akaniambia fanya"

"Wao wanamuona Mwenyekiti wao yupo Jela Mimi namuona Kaka yangu yupo Jela huo ndio utofauti, Wahariri waulizeni wenzetu wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe nje ya Jela, Mimi naamini tulichofanya Dodoma (kumuomba Rais Samia amsamehe Mbowe) isingeleta kelele zilizopigwa, leo tungekuwa na Mbowe nje, naamini hivyo" ———Zitto Kabwe Dar es salaam leo

My Take
Hakika dalali hana aibu. Mbowe alishatamka hahitaji kumpigia magoti au kumlamba matako mtu ili awe huru. Kwa nini unang'ang'aniza kumuombea msamaha? Mbowe sio gaidi unapotaka aombe msamahama unataka iwekwe kumbukumbu kwamba alikiri ugaidi ila akaomba msahama?

Chadema na wafuasi wake pamoja na wapenda haki wengine walishaitaka serikali imuachie Mbowe bila masharti,kwa nini wewe huwaungi mkono?! Ina maana unaamini Mbowe ni gaidi ila aombe msamaha?
Wewe unakula unacheza na mkeo na watoto wako unafurahia halafu unataka mbowe ndio aendelee kusota jela acha roho mbaya wewe
 
Kumbe rais anaweza kuamua pia gaidi arudi kuendelea na mipango ya kigaidi kwa kutoa msamaha? Zito na kitenge wanatumiwa kwenye ajenda ya siri.

Kitenge anatumiwa kam chambo kuwaondoa wamaasai ngorongoro. Ilhali zito anatumika kwenye mipango ya kukwepa aibu ya kumsweka mbowe gerezani kimagumashi ili ionekane amesamehewa na sio jmhuri kushindwa kesi.
 
Wewe unakula unacheza na mkeo na watoto wako unafurahia halafu unataka mbowe ndio aendelee kusota jela acha roho mbaya wewe
Kwahiyo mbowe hana kosa alilotenda kisheria?

Kwanini mlimkamata na kumfungulia kesi ya ugaidi na kila siku mnakuja humu na kuimba mbowe ni gaidi?

Igp na hangaya walisema wanaoushahidi wa mbowe kuwa ni gaidi kwanini mnataka atoke bila ya kumuhukumu ugaidi wake?

Je yamewashinda mnataka aombe msamaha kwa kosa asilolitenda?

Kwanini hamjiamini mnapojiamulia kufungua kesi kama hizi ambazo hamna ushahidi nazo?

Swali lá mwisho mnataka mbowe aombe msamaha wakosa gani alilotenda?
 
Hii nchi Haina usawa ,na usawa hautakuja kutokea ....huyo mbowe mnayempa kichwa ...ataishia kuumia tu ...

Hakuna mtu mkubwa kuizid serikali ,hakuna kiumbe kinaweza kuishinda serikali kwa namna yeyote ile iwe kwa heli au kwa Shari ,kama mbowe ataendelea kukaza fuvu kwa kusikiliza hawa keyboard warrior walio kwa mashemeji zao wamejifungia ndani ...basi hii dunia ataiona chungu Sana .....
 
Msimamo wa chadema na wananchi kwa ujumla wanataka mbowe aachiwe bila masharti yoyote kwa vile hana kosa alilotenda kisheria.

Serikali haina uwezo wa kumuachia kama wananchi wanavyotaka?

Mnachotaka nyinyi aombe msamaha kwa kosa gani ndugu.

Kusema atateseka nani anaemtesa na kwa malengo gani ndugu?

Hebu kaaa na fikiria uache akili yako iwe huru.
 
"Sakata la Freeman ni moja kati ya vitu vinavyoniumiza sana, Freeman amenilea, ninavyomuona yupo jela simuoni kama Mwenyekiti wa CHADEMA, namuona kama Kaka yangu, nimefanya jitihada kuhakikisha anatoka Jela na kila nilichofanya kina ruhusa ya Mbowe, nimeenda Jela na nimeongea nae kumuambia nataka kufanya hivi akaniambia fanya"

"Wao wanamuona Mwenyekiti wao yupo Jela Mimi namuona Kaka yangu yupo Jela huo ndio utofauti, Wahariri waulizeni wenzetu wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe nje ya Jela, Mimi naamini tulichofanya Dodoma (kumuomba Rais Samia amsamehe Mbowe) isingeleta kelele zilizopigwa, leo tungekuwa na Mbowe nje, naamini hivyo" ———Zitto Kabwe Dar es salaam leo

My Take
Hakika dalali hana aibu. Mbowe alishatamka hahitaji kumpigia magoti au kumlamba matako mtu ili awe huru. Kwa nini unang'ang'aniza kumuombea msamaha? Mbowe sio gaidi unapotaka aombe msamahama unataka iwekwe kumbukumbu kwamba alikiri ugaidi ila akaomba msahama?

Chadema na wafuasi wake pamoja na wapenda haki wengine walishaitaka serikali imuachie Mbowe bila masharti,kwa nini wewe huwaungi mkono?! Ina maana unaamini Mbowe ni gaidi ila aombe msamaha?
Zito muhuni Kama wahuni wengine
 
Kosa la mbowe ni kushinikiza matamanio yake,mfn katiba mpya .. Tena kwa lazima na ubabe wa kijinga bila hata kutumia maneno yenye busara ,....

Anaivimbia hadharani serikali kwa kuandaa vikundi na kushinikiza maandamano na mikusanyiko ambayo Haina tija ...kwa Nini asibambikiziwe kesi ya ugaidi ...Mimi najua mbowe kabambikiziwa kesi kabisa ,kwa sababu ya dharau,kiburi ,jeuri na kujiona yeye anaweza kuikosoa serikali na maneno yake ya fedhuri na kijinga bila weredi na busara ....! Hata kama anahaki watu wa hivyo hakuna namna zaidi ya kuwakaanga tu ...!
 
Kosa la Zitto liko wapi kama kawepa baraka zote na Mbowe.
Mashabiki wa chadomo nyie ndio mazoba, vilaza na wanafiki wakubwa muwe na haya kulitajataja jina la Zitto.
 
"Sakata la Freeman ni moja kati ya vitu vinavyoniumiza sana, Freeman amenilea, ninavyomuona yupo jela simuoni kama Mwenyekiti wa CHADEMA, namuona kama Kaka yangu, nimefanya jitihada kuhakikisha anatoka Jela na kila nilichofanya kina ruhusa ya Mbowe, nimeenda Jela na nimeongea nae kumuambia nataka kufanya hivi akaniambia fanya"

"Wao wanamuona Mwenyekiti wao yupo Jela Mimi namuona Kaka yangu yupo Jela huo ndio utofauti, Wahariri waulizeni wenzetu wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe nje ya Jela, Mimi naamini tulichofanya Dodoma (kumuomba Rais Samia amsamehe Mbowe) isingeleta kelele zilizopigwa, leo tungekuwa na Mbowe nje, naamini hivyo" ———Zitto Kabwe Dar es salaam leo

My Take
Hakika dalali hana aibu. Mbowe alishatamka hahitaji kumpigia magoti au kumlamba matako mtu ili awe huru. Kwa nini unang'ang'aniza kumuombea msamaha? Mbowe sio gaidi unapotaka aombe msamahama unataka iwekwe kumbukumbu kwamba alikiri ugaidi ila akaomba msahama?

Chadema na wafuasi wake pamoja na wapenda haki wengine walishaitaka serikali imuachie Mbowe bila masharti,kwa nini wewe huwaungi mkono?! Ina maana unaamini Mbowe ni gaidi ila aombe msamaha?
Hatutaki huo msahama wa kijinga, eti akiri ugaidi, Zitto ni wakala wa CCM
 
Kosa la mbowe ni kushinikiza matamanio yake,mfn katiba mpya .. Tena kwa lazima na ubabe wa kijinga bila hata kutumia maneno yenye busara ,....

Anaivimbia hadharani serikali kwa kuandaa vikundi na kushinikiza maandamano na mikusanyiko ambayo Haina tija ...kwa Nini asibambikiziwe kesi ya ugaidi ...Mimi najua mbowe kabambikiziwa kesi kabisa ,kwa sababu ya dharau,kiburi ,jeuri na kujiona yeye anaweza kuikosoa serikali na maneno yake ya fedhuri na kijinga bila weredi na busara ....! Hata kama anahaki watu wa hivyo hakuna namna zaidi ya kuwakaanga tu ...!
Kajifunze kwanza kiswahili maana ya R&L Bashite mkubwa wewe
 
Kosa la mbowe ni kushinikiza matamanio yake,mfn katiba mpya .. Tena kwa lazima na ubabe wa kijinga bila hata kutumia maneno yenye busara ,....

Anaivimbia hadharani serikali kwa kuandaa vikundi na kushinikiza maandamano na mikusanyiko ambayo Haina tija ...kwa Nini asibambikiziwe kesi ya ugaidi ...Mimi najua mbowe kabambikiziwa kesi kabisa ,kwa sababu ya dharau,kiburi ,jeuri na kujiona yeye anaweza kuikosoa serikali na maneno yake ya fedhuri na kijinga bila weredi na busara ....! Hata kama anahaki watu wa hivyo hakuna namna zaidi ya kuwakaanga tu ...!n
Kama kiongozi wa nchi aliyeapa kuilinda katiba na kulinda haki zake unamkaangaje mtu bila kufuata sheria kwa kujificha katika kesi za kubambika.

Je huu Ndiyo utawala bora? Kwa nini asifunguliwe mashtaka halisi kuliko kuichafua nchi, mahakama, polisi na Jeshi la Wananchi.

Kumbuka haya mambo yanarekodiwa muda wowote mtalipa haya mnayowafanyia.
awakaangaje
 
Hii nchi unajikuta wewe jeuri kama nani ,huyo mbowe anasema hawezi omba msamaha hivi nyie chadema mnaakili sawa sawa kweli ....!

Hii dunia Kuna mtu ambaye hawezi omba msamaha ,mnajikuta mnajeuri ,hivi chadema mnajivunia Nini mpaka mnaona hamuwezi kujishusha mbumbumbu nyie mnamuumiza mwenyekiti wenu kwa umasikin jeuri wenu ,chama lenyewe masikini Bado linamvimbia aliyeshika mpini ,nyie ni takataka tu ...

Mnajifanya hamuwezi kuomba msamaha kwani mbowe anakitu gani cha special ? Mpaka hawez kulamba viatu vya mama samia ,unahisi mama samia akinyenyua mapembe na huyo mbowe akanyanyua mapembe nan ataumia ,hivi hamjui hata kusoma alama za nyakati ,yaani unataka kuidindia raisi ,harafu utegemeee ushindi ,sawa sawa na mtoto amleteee jeuri baba yake ,harafu kula kulala anategemea kwa baba yake ....

Hili chama halina hata watu wastaarabu na werevu ....

Zito anajua analolifanya ,watu kama chadema maisha wapo ,ni masikini jeuri ,hawaambiliki kila kitu wanajikuta wanajua ...mtakufa na tai shingoni kunguni nyie ...
Kweli nimeamini duniani watu wapumbavu bado mpo
 
Back
Top Bottom