Zitto acha udalali wa mauzo ya uhuru wa Freeman Mbowe

Hii nchi unajikuta wewe jeuri kama nani ,huyo mbowe anasema hawezi omba msamaha hivi nyie chadema mnaakili sawa sawa kweli ....!

Hii dunia Kuna mtu ambaye hawezi omba msamaha ,mnajikuta mnajeuri ,hivi chadema mnajivunia Nini mpaka mnaona hamuwezi kujishusha mbumbumbu nyie mnamuumiza mwenyekiti wenu kwa umasikin jeuri wenu ,chama lenyewe masikini Bado linamvimbia aliyeshika mpini ,nyie ni takataka tu ...

Mnajifanya hamuwezi kuomba msamaha kwani mbowe anakitu gani cha special ? Mpaka hawez kulamba viatu vya mama samia ,unahisi mama samia akinyenyua mapembe na huyo mbowe akanyanyua mapembe nan ataumia ,hivi hamjui hata kusoma alama za nyakati ,yaani unataka kuidindia raisi ,harafu utegemeee ushindi ,sawa sawa na mtoto amleteee jeuri baba yake ,harafu kula kulala anategemea kwa baba yake ....

Hili chama halina hata watu wastaarabu na werevu ....

Zito anajua analolifanya ,watu kama chadema maisha wapo ,ni masikini jeuri ,hawaambiliki kila kitu wanajikuta wanajua ...mtakufa na tai shingoni kunguni nyie ...

Hata ukipanick, ni hivi, hatuombi msamaha acha Mbowe afie jela ili CDM ife na ccm iendelee kuwa tajiri fullstop.
 
Mnafiki tu huyo Zitto.

Screenshot_20220206-172031_Chrome.jpg
 
Hii nchi unajikuta wewe jeuri kama nani ,huyo mbowe anasema hawezi omba msamaha hivi nyie chadema mnaakili sawa sawa kweli ....!

Hii dunia Kuna mtu ambaye hawezi omba msamaha ,mnajikuta mnajeuri ,hivi chadema mnajivunia Nini mpaka mnaona hamuwezi kujishusha mbumbumbu nyie mnamuumiza mwenyekiti wenu kwa umasikin jeuri wenu ,chama lenyewe masikini Bado linamvimbia aliyeshika mpini ,nyie ni takataka tu ...

Mnajifanya hamuwezi kuomba msamaha kwani mbowe anakitu gani cha special ? Mpaka hawez kulamba viatu vya mama samia ,unahisi mama samia akinyenyua mapembe na huyo mbowe akanyanyua mapembe nan ataumia ,hivi hamjui hata kusoma alama za nyakati ,yaani unataka kuidindia raisi ,harafu utegemeee ushindi ,sawa sawa na mtoto amleteee jeuri baba yake ,harafu kula kulala anategemea kwa baba yake ....

Hili chama halina hata watu wastaarabu na werevu ....

Zito anajua analolifanya ,watu kama chadema maisha wapo ,ni masikini jeuri ,hawaambiliki kila kitu wanajikuta wanajua ...mtakufa na tai shingoni kunguni nyie ...

Acha dharau na jeuri kisa CCM. Serikali imewahi kuomba radhi kwa makosa iliyofanya?. Kesi ipo mahakamani lakini watu wenye roho mbaya mnapiga makelele Mbowe aombe msamaha. Amuombe Nani msamaha?. Kwanza aliyepeleka kesi mahakamani Ni Nani si Ni serikali. Mbona mnalazimisha msamaha nyie watu?. Acheni kesi iendelee tuone mwisho wake.
 
Hii nchi unajikuta wewe jeuri kama nani ,huyo mbowe anasema hawezi omba msamaha hivi nyie chadema mnaakili sawa sawa kweli ....!

Hii dunia Kuna mtu ambaye hawezi omba msamaha ,mnajikuta mnajeuri ,hivi chadema mnajivunia Nini mpaka mnaona hamuwezi kujishusha mbumbumbu nyie mnamuumiza mwenyekiti wenu kwa umasikin jeuri wenu ,chama lenyewe masikini Bado linamvimbia aliyeshika mpini ,nyie ni takataka tu ...

Mnajifanya hamuwezi kuomba msamaha kwani mbowe anakitu gani cha special ? Mpaka hawez kulamba viatu vya mama samia ,unahisi mama samia akinyenyua mapembe na huyo mbowe akanyanyua mapembe nan ataumia ,hivi hamjui hata kusoma alama za nyakati ,yaani unataka kuidindia raisi ,harafu utegemeee ushindi ,sawa sawa na mtoto amleteee jeuri baba yake ,harafu kula kulala anategemea kwa baba yake ....

Hili chama halina hata watu wastaarabu na werevu ....

Zito anajua analolifanya ,watu kama chadema maisha wapo ,ni masikini jeuri ,hawaambiliki kila kitu wanajikuta wanajua ...mtakufa na tai shingoni kunguni nyie ...
Are you sitting on your brain?
 
Kunywa pain killer ulale. Mbowe hatomuomba Jezebel msamaha.
 
Careful. Taratibu.

Msimamo wa aina hii wa kupigia magoti walioshika mpini, ndio ulifanya Waafrika wapelekwe utumwani na kufanywa makoloni kirahisi tofauti na mataifa mengine ya dunia ya tatu.

Mbowe akiumia no problem. Kachagua mwenyewe mapambano ya kisiasa. Mtu kama yeye kuomba msamaha bila kosa ni fedheha.
 
Hii nchi unajikuta wewe jeuri kama nani ,huyo mbowe anasema hawezi omba msamaha hivi nyie chadema mnaakili sawa sawa kweli ....!

Hii dunia Kuna mtu ambaye hawezi omba msamaha ,mnajikuta mnajeuri ,hivi chadema mnajivunia Nini mpaka mnaona hamuwezi kujishusha mbumbumbu nyie mnamuumiza mwenyekiti wenu kwa umasikin jeuri wenu ,chama lenyewe masikini Bado linamvimbia aliyeshika mpini ,nyie ni takataka tu ...

Mnajifanya hamuwezi kuomba msamaha kwani mbowe anakitu gani cha special ? Mpaka hawez kulamba viatu vya mama samia ,unahisi mama samia akinyenyua mapembe na huyo mbowe akanyanyua mapembe nan ataumia ,hivi hamjui hata kusoma alama za nyakati ,yaani unataka kuidindia raisi ,harafu utegemeee ushindi ,sawa sawa na mtoto amleteee jeuri baba yake ,harafu kula kulala anategemea kwa baba yake ....

Hili chama halina hata watu wastaarabu na werevu ....

Zito anajua analolifanya ,watu kama chadema maisha wapo ,ni masikini jeuri ,hawaambiliki kila kitu wanajikuta wanajua ...mtakufa na tai shingoni kunguni nyie ...

Umeandika insha ndeefu, ndani yake kumejaa matakataka tu!
Pole kiufupi Mbowe na Chadema hawataomba msamaha!
Over...!
 
Chadema ndio madalali,mmepokea dola 100,000 kutoka open society ya kenya kwaajili ya kugharamia kesi ya Mbowe,ndio maana hamtaki kesi ifutwe maana kesi kwenu ni ulaji
 
Hii nchi unajikuta wewe jeuri kama nani ,huyo mbowe anasema hawezi omba msamaha hivi nyie chadema mnaakili sawa sawa kweli ....!

Hii dunia Kuna mtu ambaye hawezi omba msamaha ,mnajikuta mnajeuri ,hivi chadema mnajivunia Nini mpaka mnaona hamuwezi kujishusha mbumbumbu nyie mnamuumiza mwenyekiti wenu kwa umasikin jeuri wenu ,chama lenyewe masikini Bado linamvimbia aliyeshika mpini ,nyie ni takataka tu ...

Mnajifanya hamuwezi kuomba msamaha kwani mbowe anakitu gani cha special ? Mpaka hawez kulamba viatu vya mama samia ,unahisi mama samia akinyenyua mapembe na huyo mbowe akanyanyua mapembe nan ataumia ,hivi hamjui hata kusoma alama za nyakati ,yaani unataka kuidindia raisi ,harafu utegemeee ushindi ,sawa sawa na mtoto amleteee jeuri baba yake ,harafu kula kulala anategemea kwa baba yake ....

Hili chama halina hata watu wastaarabu na werevu ....

Zito anajua analolifanya ,watu kama chadema maisha wapo ,ni masikini jeuri ,hawaambiliki kila kitu wanajikuta wanajua ...mtakufa na tai shingoni kunguni nyie ...
Nani unamwita mbumbumbu wewe mpumbavu tu? Unataka kujua Chadema tunajivunia nini?
Chadema tunajivunia uwezo mkubwa wa akili Tulionao na nyie mnajivunia upumbavu mkubwa mlinao mkidhani Bunduki ndo zitawafanya mtawale milele,huyu alidhani atatawala miaka yote eti kisa jeshi linalipwa vizuri,muwe mnajifunza hata kwa wenzenu mpuuzi mkubwa wewe
JamiiForums-1744185219.jpg
 
Hii nchi unajikuta wewe jeuri kama nani ,huyo mbowe anasema hawezi omba msamaha hivi nyie chadema mnaakili sawa sawa kweli ....!

Hii dunia Kuna mtu ambaye hawezi omba msamaha ,mnajikuta mnajeuri ,hivi chadema mnajivunia Nini mpaka mnaona hamuwezi kujishusha mbumbumbu nyie mnamuumiza mwenyekiti wenu kwa umasikin jeuri wenu ,chama lenyewe masikini Bado linamvimbia aliyeshika mpini ,nyie ni takataka tu ...

Mnajifanya hamuwezi kuomba msamaha kwani mbowe anakitu gani cha special ? Mpaka hawez kulamba viatu vya mama samia ,unahisi mama samia akinyenyua mapembe na huyo mbowe akanyanyua mapembe nan ataumia ,hivi hamjui hata kusoma alama za nyakati ,yaani unataka kuidindia raisi ,harafu utegemeee ushindi ,sawa sawa na mtoto amleteee jeuri baba yake ,harafu kula kulala anategemea kwa baba yake ....

Hili chama halina hata watu wastaarabu na werevu ....

Zito anajua analolifanya ,watu kama chadema maisha wapo ,ni masikini jeuri ,hawaambiliki kila kitu wanajikuta wanajua ...mtakufa na tai shingoni kunguni nyie ...
Kiongozi ungetusaidia kwanza kutuwekea wazi kosa la Mh Mbowe, halafu ndio tujadili mambo ya msamaha.
 
unateseka kwa kosa gani?
Muache ujinga na upumbavu wa kumtesa mbowe na kumpa kiburi cha kijinga mkila kuku na bia yeye yupo nyuma ya nondo ....

Mbowe anafamilia ,wazazi na watoto wanamtegema mnamjaza ujinga huku akipoteza raslimali zake ...

Mbowe shituka hii dunia imejaa wanafiki tu wanafurahi kukuona upo ndani wao wanakula kuku kwa mrija huku nje ...omba msamaha kwa mama ni msikivu uje tuendelee na maisha ....
 
Zitto kama anaamini Mbowe anasingiziwa tu, iweje asiongeze nguvu ya mawakili ili Mbowe ashinde kupitia mahakama!!
 
Back
Top Bottom