Zitto aahidi utumishi uliotukuka

Hakuna mbunge msafi Tanzania. wote waganga njaa tu.

Bora liende.

Hongera Zitto
 
Hajaongelea ile kashfa yake ya kuhongwa mil 100 na Barricks na kujengewa shule ya sekondari jimboni?
Wewe wacha mambo yako hayo, ilikuja thread hapa ya hiyo Brick jamaa alijieleza vizuri tuu na shule alisema walitoa msaada kwa watu wa eneo hilo. Hiyo shule si ya Zito Kabwe ni ya serikali, huyo mbunge hana maslahi yoyote na hiyo shule labda kwa kusaidia maendeleo ya jimbo lake, upo????????Wana Igunga piga kura ya kujikonmboa chagua CDM!!!!!!!!!!!!
 
kuna watu ambao sijajua kama ni mashabiki,wanatumwa,ama wapo ilimradi wapo,wanasema kwasababu ni haki yao ya kikatiba,lakini wanachokisema hakiwi na uhusiano na hoja,hotuba aliyoitoa Zitto ni muhimu wanaigunga wakaizingatia wakati wa kwenda kufanya maamuzi.Mwisho kama kweli ni hongo,ENDAPO TAIFA HILI VIONGOZI WANGEKUWA WANAHONGWA SHULE,AFYA,UMEME,BARABARA,VIWANDA nk,basi ndani ya miaka50 ya uhuru na raslimali zilizopo Taifa lingekuwa la kupigiwa mfano wa kuigwa kuliko WANAO ONGWA UMASKINI,MAGONJWA,VIFO,UTUMWA NA UZEZETA.Pengine mtoa hoja ni miongoni.
 
Tunataka utawala uliotukuka, siyo huu wa wahuni unaoendeshwa gizani, ingawa waon wanaona ni kweupe!
 
kila mtu anamapungufu yake kwanza mbona zitto ana afadhali jamani mwacheni kijana afanye kazi
 
Hajaongelea ile kashfa yake ya kuhongwa mil 100 na Barricks na kujengewa shule ya sekondari jimboni?

Kashfa nafikiri ni 'scandal' in english.
Hapa we 'mrisya' hujatofautisha kati ya grant, donation na bribe.
Akina Mwita wa kweli wanakutafuta, jitokeze basi kama kweli unatoka kwa hao watani zangu....
 
Zitto hapo umeonyesha ukomavu wa kisiasa,siasa sio chuki na hapo ndio tutajua kweli dhamira yenu kama kweli ni njema kwa mustakabali wa taifa letu changa.
 
Back
Top Bottom