DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,130
Mgombea ubunge Kwa tiketi ya chama Cha ACT Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameahidi Kutatua changamoto ya ardhi inayowakabili wananchi wengi iwapo atachaguliwa.
Soma Pia: GE2025 - Zitto azindua Kampeni Kigoma Mjini aahidi kupigania haki za kiraia
Soma Pia: GE2025 - Zitto azindua Kampeni Kigoma Mjini aahidi kupigania haki za kiraia