Mbona umewahi haraka hivyo kwani wasiwasi wako nini?Unaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?
Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..
#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatumbua uongoMbona umewahi haraka hivyo kwani wasiwasi wako nini?
Sisi tunasubili Noah zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pande mbili zikiridhia...Ma-CCM bhana...
Yaani unaona kabisa wameandika ",,,doeesn't publish WITHOUT halafu una-conclude kwamba hawachapishi?!
Hivi mtu akiandika "... you can't enter the examination room WITHOUT a pen; ina maana wamesema HUWEZI kuingia kwenye chumba cha mtihani?
Unaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?
Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..
#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Masiga, wewe ndio uache upotoshaji, kwa vile nyingi ya arbitrations ni mashauri ya kimataifa ambayo matokeo yake huwa ni final and conclusive, ili hiyo awards iweze kutekelezwa, it has to be registered kwenye domestic laws kwa kusajiliwa Mahakama Kuu yetu ili ziweze kupata forces of law ziweze kutekelezwa. Local laws zetu hazina hiyo clause, hivyo kila mtu atajua, ndio maana tuliijua tozo ya dowans, na kwa taarifa, ililipwa japo kwa siri!. Juzi bombadier zetu zilishikwa Canada, tumelipa!. Hizi pesa za Stan Chart HK, pia tutalipa, unless wawaachie Ruge na Seti wabebe zigo lao.Unaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?
Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..
#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079
Sent using Jamii Forums mobile app
The problem unachanganya mambo!
Wikiliki ndugu!!Unaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?
Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..
#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?
Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..
#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079
Sent using Jamii Forums mobile app
Chige uko vizuri maana hii mijitu ya kijani inakera sanaMa-CCM bhana...