GE2020 Zitto 2015 ulikataa UKAWA, why leo utake Coalition?

Huwa haaminiki huyu, maslahi yake binafsi ndio kipaumbele chake.
 
We
Well said man,pia membe ni usalama wa taifa.Anachokifanya membe ni well planned and organized ,amini nakuambia membe hajafukuzwa ccm bali kaja kuuvuruga upinzani na akimaliza kazi atarudi ccm na hawa jamaa wa usalama wa taifa huwa hawastaafu muda wote wapo kazini kwa mbinu tofauti
 
Kwanza tangulini Zitto akawa opposition???
Stop rubbish Kaka chadema know everything na jinsi ya kucheza solo la Zitto na Act yake
 
Nakuunga mkono mkuu kuwa Zitto ni mbinafsi mkuu na mpenda vya wenzake viwe vyake na vyake abakie navyo
 
Kosa siyo kufanya kosa bali ni kurudia kosa, hivyo this time sisi kama cdm tunasimama kivyetu na hao mawakala wa ccm wasimame na ccm yao
This is Politics Buda, ni kama vile ambavyo CDM baada ya kuungwa mkono na vyama vingine na kupata kura nyingi na wabunge wa kutosha, Leo wanakula Ruzuku pekee yao.
 
Siasa ndivyo ilivyo, japo Zitto nae haaminiki kutokana na aliyowahi kuyafanya siku za nyuma, binafsi naamini hata kama patakuwa na coalition kati ya Chadema na ACT but mgombea Urais wa Tanzania Bara lazima awe mpinzani, alielelewa upinzani.
Tatizo Zitto anataka wao ndiyo watoe mgombea wao Membe ambaye ni wakala wa ccm, huo ujinga hatuwezi kuurudia tena sisi kama cdm
 
Umeanza kufatilia lini siasa mkuu ? unashangaa vitu vya kawaida , wewe uliwai kuwaza kuwa Lowasa angekuwa mgombea wa Chadema tena Urais ? kwa namna walivyokuwa wakimchafua kila siku tuliza kichwa siasa sio lelemama
 
Pamoja na yote membe hawezi kusimamishwa km mgombea.....

Hapa ni Tundu Lissu tu.....FULL STOP
 
ACT wanamtaka Membe jomba, na ndio maana Zitto anapigana kwa nguvu zote kuwa na coalition ili mgombea wao aungwe mkono na wengine.
Hiyo ndiyo akili ya sungura aliyo nayo Zitto, lkn safari hii cdm hatukubali ujinga huo.

Tuna base mzuri ya wapiga kura, wakati hiyo ACT yenyewe haina kitu kama hicho
 
Upo sahihi mkuu, sasa hivi wanasema hayo kwakuwa tayari wamekosa walicho kusudia
Hivyo vyama wakati vinaingia makubaliano wa kuunda UKAWA na Chadema vilijiamini vinauwezo wa kushinda majimboni, hivyo kama wangeshinda nao wangekuwa na ruzuku zao, kuwalaumu Chadema kwa hili huwatendei haki.
 
Haina tatizo kama wanajiamini ndiyo mafanikio yao, waendelee tu.

Wana cdm nasi tutacheza karata zetu na mungu akitujalia chochote tutashukuru.
Na kwa upepo wa sasa ACT wanaenda kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni japo ni habari chungu kwa Chadema...Ni swala la muda tu ja
 
Zitto yupo huru kuwaomba kina TLP, NCCR, CUF ya Lipumba na Ccm waungane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…