Zito Zuberi Kabwe nakuita mara tatu

Zito Zuberi Kabwe nakuita mara tatu

Ww mbona unajifanya kuchukia utekaji wa Samia hali ya kuwa ulikuwa ukiushangilia kipindi cha magufuri?
Ww mbona unajifanya kuchukia ufisadi wa Samia hali ya kuwa ulishangilia baada ya pro Asad kuondolewa ofisini kihuni na Magu baada ya kufichua wizi wa 1.5 trion,mbona ulishangilia pesa za uma kutumiwa kununua wapinzani ili wajiunge ccm?
Mbona Sasa hivi unajifanya kusikitika lisu kuwa jera Hali ya kuwa ulishangilia lisu kupingwa lisasi na magufuri Kwa kisingizio kuwa ni msariti?

Kiufupi tabia ya zito anayo ionesha Sasa anawakilisha %98 ya watz ,kawaida watanzania huwa hawahukumu vitendo Bali huwa wanahukimu Kwa kuangalia ni nani aliye vitenda.
Jikite kwenye hoja kubwa jinga wewe
 
ZZK alikwisha kisiasa siku alipofika bei 2014! Zitto sio wakushindwa kwa kura nyingi na Comedian hapo kwao Mwandiga.
 
It's all about itikadi haya mambo mboni yako wazi,kwa uelewa wangu wa kuishi na jamii mbalimbali hakuna Muha,Mndengereko,Mmakonde,Mzaramo,Mmanyema mwenye akili hata awe amesoma kiasi gani linapokuja suala la itikadi ya kidini

Ukweli ni huo mje hapa mnipopoe.
Mkuu hayo ni matusi sasa sisi wamakonde tumekukosea nini?
 
X(twitter) ya Zito Kabwe imepoaa mara tu baada ya Rais Samia kuapishwa urais wa nchi yetu.

Kipindi Magufuli akiwa Rais (2016 -2021) twitter ya Zito Kabwe ilikuwa moto wa kuotea mbali ,alikosoa kila kitu cha Magufuli kuanzia tembea yake ,ongea yake, miradi, tumbua yake na hata unywele wa Magufuli ukitikisika alikosoa

Siku Magufuli anamtumbua January Makamba kwenye uwaziri wa muungano na mazingira aliibuka Zito Kabwe na andiko refu kwenye mitandao ya kijamii akiita kitendo hicho ni udikteta usiokubalika mbele ya macho ya Mungu.

Mara paap akaapishwa Rais Samia akamtumbua spika wa bunge ambaye ni muhimili unaojitegemea lakini Zito Kabwe kimya,

Rais Samia akamtumbua January Makamba lakini Zito Kabwe kimya!

Rais Samia ametumbua hadi makamu wa Rais Dk Nchimbi ambaye ni the second strongest man in the country lakini Zito Kabwe yupo kimyaaa!

Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere umenifundisha kwamba si kila ushauri unaotoka kwa msomi ni wa kusikiliza hata kama huyo msomi ni profesa, kabla hujasikiliza ushauri wake muulize kwanza amesomea nini?
Ujenzi wa bwawa hili ulipingwa na wasomi, hamna darasa la saba hata mmoja aliyepinga mradi huu.
Wasomi kama Prof Muhongo, Nape, Zito Kabwe walipinga kwa kuandaa pepa ndefu na tafiti mbalimbali kuonyesha mradi haufai kabisa na utasababisha uchumi wa mikoa ya kusini kusinyaa!
Sasa hivi mradi umekamilika wamekaa kimya bila kutuonyesha hayo madhara.
Wewe Prof Muhongo na Nape tunawauliza uchumi wa mikoa ya kusini umesinyaa sababu ya bwawa la umeme?
Vipi kama Magufuli angefuata ushauri wa wasomi hawa?
Kila mtu ana aina ya Kiongozi anaemkubali kulingana na sera zake.

SSH sio radical so na Zito ,hata Mimi binafsi sijawahi mkubali Magufuli Kwa mambo mengi sana hususani ya management ya Uchumi
 
Uchumi wa kati haukubali?
 
Waislamu wote kuanzia Allah mpaka waja wake wanakuwaga na matatizo ya akili.
Acha hizi mambo, na ndio CCM wanachotaka the more mnalaumu waislamu ndio the more CCM inafurahia huu mpasuko maana automatically mnawagawa waTanzania na hapo CCM itaendelea kutawala milele na 2030 ikiwaletea mgombea mkristo wote mtampigia kura!!

Wake up,
 
Usi msahau na Fatuma Karume, Shangazi. Naye yuko km Zitto, kisa ni UDINI.
Tunashukuru Mungu muda ni Mwl tumewatamabua vizuri, Maana kama hawa ndio wangepata madaraka TZ ingezama.

Ni Sawa na secretariete ya Chadema ya zamani kabla ya Lissu, kumbe Kila mateso yanakuja na faida zake, pale juu kulikuwa kumejaa mafisadi tupu tukiwaamini ni wenzetu
 
Inasikitisha sana
 
It's all about itikadi haya mambo mboni yako wazi,kwa uelewa wangu wa kuishi na jamii mbalimbali hakuna Muha,Mndengereko,Mmakonde,Mzaramo,Mmanyema mwenye akili hata awe amesoma kiasi gani linapokuja suala la itikadi ya kidini

Ukweli ni huo mje hapa mnipopoe.
Upo sahihi
 
X(twitter) ya Zito Kabwe imepoaa mara tu baada ya Rais Samia kuapishwa urais wa nchi yetu.

Kipindi Magufuli akiwa Rais (2016 -2021) twitter ya Zito Kabwe ilikuwa moto wa kuotea mbali ,alikosoa kila kitu cha Magufuli kuanzia tembea yake ,ongea yake, miradi, tumbua yake na hata unywele wa Magufuli ukitikisika alikosoa

Siku Magufuli anamtumbua January Makamba kwenye uwaziri wa muungano na mazingira aliibuka Zito Kabwe na andiko refu kwenye mitandao ya kijamii akiita kitendo hicho ni udikteta usiokubalika mbele ya macho ya Mungu.

Mara paap akaapishwa Rais Samia akamtumbua spika wa bunge ambaye ni muhimili unaojitegemea lakini Zito Kabwe kimya,

Rais Samia akamtumbua January Makamba lakini Zito Kabwe kimya!

Rais Samia ametumbua hadi makamu wa Rais Dk Nchimbi ambaye ni the second strongest man in the country lakini Zito Kabwe yupo kimyaaa!

Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere umenifundisha kwamba si kila ushauri unaotoka kwa msomi ni wa kusikiliza hata kama huyo msomi ni profesa, kabla hujasikiliza ushauri wake muulize kwanza amesomea nini?
Ujenzi wa bwawa hili ulipingwa na wasomi, hamna darasa la saba hata mmoja aliyepinga mradi huu.
Wasomi kama Prof Muhongo, Nape, Zito Kabwe walipinga kwa kuandaa pepa ndefu na tafiti mbalimbali kuonyesha mradi haufai kabisa na utasababisha uchumi wa mikoa ya kusini kusinyaa!
Sasa hivi mradi umekamilika wamekaa kimya bila kutuonyesha hayo madhara.
Wewe Prof Muhongo na Nape tunawauliza uchumi wa mikoa ya kusini umesinyaa sababu ya bwawa la umeme?
Vipi kama Magufuli angefuata ushauri wa wasomi hawa?
FB_IMG_1788260935018.jpg
 
X(twitter) ya Zito Kabwe imepoaa mara tu baada ya Rais Samia kuapishwa urais wa nchi yetu.

Kipindi Magufuli akiwa Rais (2016 -2021) twitter ya Zito Kabwe ilikuwa moto wa kuotea mbali ,alikosoa kila kitu cha Magufuli kuanzia tembea yake ,ongea yake, miradi, tumbua yake na hata unywele wa Magufuli ukitikisika alikosoa

Siku Magufuli anamtumbua January Makamba kwenye uwaziri wa muungano na mazingira aliibuka Zito Kabwe na andiko refu kwenye mitandao ya kijamii akiita kitendo hicho ni udikteta usiokubalika mbele ya macho ya Mungu.

Mara paap akaapishwa Rais Samia akamtumbua spika wa bunge ambaye ni muhimili unaojitegemea lakini Zito Kabwe kimya,

Rais Samia akamtumbua January Makamba lakini Zito Kabwe kimya!

Rais Samia ametumbua hadi makamu wa Rais Dk Nchimbi ambaye ni the second strongest man in the country lakini Zito Kabwe yupo kimyaaa!

Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere umenifundisha kwamba si kila ushauri unaotoka kwa msomi ni wa kusikiliza hata kama huyo msomi ni profesa, kabla hujasikiliza ushauri wake muulize kwanza amesomea nini?
Ujenzi wa bwawa hili ulipingwa na wasomi, hamna darasa la saba hata mmoja aliyepinga mradi huu.
Wasomi kama Prof Muhongo, Nape, Zito Kabwe walipinga kwa kuandaa pepa ndefu na tafiti mbalimbali kuonyesha mradi haufai kabisa na utasababisha uchumi wa mikoa ya kusini kusinyaa!
Sasa hivi mradi umekamilika wamekaa kimya bila kutuonyesha hayo madhara.
Wewe Prof Muhongo na Nape tunawauliza uchumi wa mikoa ya kusini umesinyaa sababu ya bwawa la umeme?
Vipi kama Magufuli angefuata ushauri wa wasomi hawa?
Ww mbona unajifanya kuchukia utekaji wa Samia hali ya kuwa ulikuwa ukiushangilia kipindi cha magufuri?
Ww mbona unajifanya kuchukia ufisadi wa Samia hali ya kuwa ulishangilia baada ya pro Asad kuondolewa ofisini kihuni na Magu baada ya kufichua wizi wa 1.5 trion,mbona ulishangilia pesa za uma kutumiwa kununua wapinzani ili wajiunge ccm?
Mbona Sasa hivi unajifanya kusikitika lisu kuwa jera Hali ya kuwa ulishangilia lisu kupingwa lisasi na magufuri Kwa kisingizio kuwa ni msariti

Kiufupi tabia ya zito anayo ionesha Sasa anawakilisha %98 ya watz ,kawaida watanzania huwa hawahukumu vitendo Bali huwa wanahukimu Kwa kuangalia ni nani aliye vitenda.
Jikite kwenye hoja kubwa jinga wewe
Hoja hapa ni unafiki wa Zito kama mlivyo wanafiki nyinyi machawa wa jiwe.
Unacho mshutumu Zito ndo nyinyi wafuasi wa jiwe mnacho kifanya.
Ya kwamba Magu alipokuwa anafanya ilikuwa nongwa Kwa Zito ila Kwa Samia anaona ni sawa,pia na kwenu nyinyi Magu alipo kuwa anafanya nyinyi kwenu ilikuwa ni sawa ila Kwa Samia mnaona nongwa .

Kiufupi ww na huyo Zito unaye mshutumu hamna tofauti nyote ni wanafiki na wapumbavu ila tofauti yenu ni mmoja anamuabudu Magu na mwingine anamuabudu Samia.
 
Kabisa, tena dini zenyewe zote tumeletewa na wageni...ni utumwa wa akili.
Hapo sasa
Ww mbona unajifanya kuchukia utekaji wa Samia hali ya kuwa ulikuwa ukiushangilia kipindi cha magufuri?
Ww mbona unajifanya kuchukia ufisadi wa Samia hali ya kuwa ulishangilia baada ya pro Asad kuondolewa ofisini kihuni na Magu baada ya kufichua wizi wa 1.5 trion,mbona ulishangilia pesa za uma kutumiwa kununua wapinzani ili wajiunge ccm?
Mbona Sasa hivi unajifanya kusikitika lisu kuwa jera Hali ya kuwa ulishangilia lisu kupingwa lisasi na magufuri Kwa kisingizio kuwa ni msariti

Kiufupi tabia ya zito anayo ionesha Sasa anawakilisha %98 ya watz ,kawaida watanzania huwa hawahukumu vitendo Bali huwa wanahukimu Kwa kuangalia ni nani aliye vitenda.

Hoja hapa ni unafiki wa Zito kama mlivyo wanafiki nyinyi machawa wa jiwe.
Unacho mshutumu Zito ndo nyinyi wafuasi wa jiwe mnacho kifanya.
Ya kwamba Magu alipokuwa anafanya ilikuwa nongwa Kwa Zito ila Kwa Samia anaona ni sawa,pia na kwenu nyinyi Magu alipo kuwa anafanya nyinyi kwenu ilikuwa ni sawa ila Kwa Samia mnaona nongwa .

Kiufupi ww na huyo Zito unaye mshutumu hamna tofauti nyote ni wanafiki na wapumbavu ila tofauti yenu ni mmoja anamuabudu Magu na mwingine anamuabudu Samia.
Lete ushahidi tukishangilia utekaji na ufisadi
 
Acha hizi mambo, na ndio CCM wanachotaka the more mnalaumu waislamu ndio the more CCM inafurahia huu mpasuko maana automatically mnawagawa waTanzania na hapo CCM itaendelea kutawala milele na 2030 ikiwaletea mgombea mkristo wote mtampigia kura!!

Wake up,
Allah ni tapeli mkuu.
 
Back
Top Bottom