doublep
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 241
- 152
Pole mkuu, ukiwa unatafuta mtoto usiziite za hatari ziite siku njema. Kutoka siku ya 10 piga kazi kwa kuruka siku moja moja mpaka ya 20. Fanya kama mchezo usifikirie Habari za mimba. Sali muombe Mungu pia kuna siku utakuta hiyoKama kichwa cha habari kinavojieleza.
Nahitaji kujua tarehe Zipi katika mzunguko Wangu na uwezo wa kushika ujauzito mzunguko Wangu ni wa siku 28. nimeshapumzika vya kutosha Natafuta mtoto mwingine Sasa mwaka umepita Sioni matokeo labda nahisi nakosea tarehe . Naomba kujuzwa tafadhal.