jayleoncy112
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 164
- 73
- Thread starter
-
- #61
wewe unatumia kitabu gani? maana hadi UDSM, sua kwote cutoff points za 4 zipokwanin kispokeee maombi meng wakat ndo chuo chuo hakina competition ma cutoff points ya 4.0 utashindwa??wakat ud cutoff minimum ni 5
Sent using Jamii Forums mobile app
UDOM ina miaka 10 tu ni ya 5 kitaaluma TANZANIA, Je na sasa serikali iko UDOM, Unaionaje UDOM ya miaka 10 ijayoUdom ni chuo kizuri kina majengo yakutosha ila udsm ,sua,ardhi, mzumbe,muhas kitaaluma viko juu asee
Sent using Jamii Forums mobile app
wWizara zipo ndani ya chuo sio mtaaninipo kazini kwa sasa but uwe na facts za kutosha unapokuja sio unakurupuka
- wewe muongo, hiyo udsm inadahili about 85 hivi kwa mwaka huu,
- pia iyo statistics ipo udsm,
- ukitoa online election vyuo vingi wanafanya kuweka rekodi mtandaoni ikiwepo fee payment,results nk
- Hiyo bachelor ya aquatic science ata udsm ipo ukisoma unakaa miaka saaba mtaani ndio nafasi zinatoka
- vyuo vinavyokubalika ni IFM na UDSM kwenye sector ya account,finance, nk
- ukianza kujisifia kuwa na wizara ata IFM watasema mtaa wao wa posta kuna aina kibao za ofisi, wizara ya afya,madini,elimu,makumbusho,NIC HQ
- IFM wanaosoma kozi za insurance and social nao taasisi wanawapa nafasi za kwenda kufanya field, pia ata udsm vipanga tulipewa field za bure kwenye makampuni
- hakuna chuo kisichokuwa na library ya kisasa
- UDSM bado ni jicho la tz mpaka sasa hivi, tena ndio imezidi tangu aje hapa kazi tu
pia hizo coz 85 zinatoka wapi wakat kitabu hapa kinacoz 79 tunipo kazini kwa sasa but uwe na facts za kutosha unapokuja sio unakurupuka
- wewe muongo, hiyo udsm inadahili about 85 hivi kwa mwaka huu,
- pia iyo statistics ipo udsm,
- ukitoa online election vyuo vingi wanafanya kuweka rekodi mtandaoni ikiwepo fee payment,results nk
- Hiyo bachelor ya aquatic science ata udsm ipo ukisoma unakaa miaka saaba mtaani ndio nafasi zinatoka
- vyuo vinavyokubalika ni IFM na UDSM kwenye sector ya account,finance, nk
- ukianza kujisifia kuwa na wizara ata IFM watasema mtaa wao wa posta kuna aina kibao za ofisi, wizara ya afya,madini,elimu,makumbusho,NIC HQ
- IFM wanaosoma kozi za insurance and social nao taasisi wanawapa nafasi za kwenda kufanya field, pia ata udsm vipanga tulipewa field za bure kwenye makampuni
- hakuna chuo kisichokuwa na library ya kisasa
- UDSM bado ni jicho la tz mpaka sasa hivi, tena ndio imezidi tangu aje hapa kazi tu
usikariri kitabu ata TCU wameonesha hayo ss unataka ulazmishe udom na us view suti dogo hiyo haiwezekan.ndoana rank ya afrika ud na udom vinafanana??wew na hao wanaorank nan eanatumia vigezo zaid??au kwakua ukiangalia majengo yanarang murua unahis ndo pako juu.hamna graduate utakaemlazimisha kuamin hill lako LA udom kukikaribia us kitaaluma.is to she matuitor karibu wote ni product za udsm.habiel luvanda,peter temu in matuitor pale na nimesoma nao BT product kubwa ya malecture udsm no professors and doctors.kubali yaishe chaliiwewe unatumia kitabu gani? maana hadi UDSM, sua kwote cutoff points za 4 zipo
not us ni ud.no professors ni professors sorryusikariri kitabu ata TCU wameonesha hayo ss unataka ulazmishe udom na us view suti dogo hiyo haiwezekan.ndoana rank ya afrika ud na udom vinafanana??wew na hao wanaorank nan eanatumia vigezo zaid??au kwakua ukiangalia majengo yanarang murua unahis ndo pako juu.hamna graduate utakaemlazimisha kuamin hill lako LA udom kukikaribia us kitaaluma.is to she matuitor karibu wote ni product za udsm.habiel luvanda,peter temu in matuitor pale na nimesoma nao BT product kubwa ya malecture udsm no professors and doctors.kubali yaishe chalii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani hata utaniambia nitoe uthibitisho wa kauli yanguUnaropoka
kiukwel kitaaluma mnatuzidi, ila tunakuja kwa kasi sana
huwez kuthibitisha kitu cha uongo
Kwa makosa katika uandishi wako nina wasiwasi na elimu uliyoipata pale uliposoma.usikariri kitabu ata TCU wameonesha hayo ss unataka ulazmishe udom na us view suti dogo hiyo haiwezekan.ndoana rank ya afrika ud na udom vinafanana??wew na hao wanaorank nan eanatumia vigezo zaid??au kwakua ukiangalia majengo yanarang murua unahis ndo pako juu.hamna graduate utakaemlazimisha kuamin hill lako LA udom kukikaribia us kitaaluma.is to she matuitor karibu wote ni product za udsm.habiel luvanda,peter temu in matuitor pale na nimesoma nao BT product kubwa ya malecture udsm no professors and doctors.kubali yaishe chalii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm ni mhanga ndio maana nayaeleza hayahuwez kuthibitisha kitu cha uongo
Hii inathibitisha ni kwa namna gani nyinyi hampo makinityping error
Udom ni kama kijiji tu, kwahyo ata serikal ikisema ipige fensi posta itakuwa kama udomwWizara zipo ndani ya chuo sio mtaani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chuo Cha Kata.
duuuh, pole sana
ahahaaaaa ww unasoma wap ambako hamkosei?
ok ngja niwajulishe wakubwa