mkamanga original
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 636
- 665
Duu
Naomba ule uzi wako wa ufafanuz, niwekee linkWakuu nawasoma kwa masikitiko makubwa sana.Sitaki kuwalaumu sababu ukaguzi ni weledi,wengi mnakosa ABC za mambo ya kikaguzi na uelewa wa utoaji hati kwa ujumla.Kuna expectation gap naliona.Pakikucha salama ntatoa ufafanuzi wa kuridhisha,katika hati safi,yenye mashaka,chafu na mbaya ni vitu gani huzingatiwa.Mnayoyataka yawe yanaweza yasionekane kwenye hati lakini yakawepo kwenye Barua ya Menejimenti inayotolewa na CAG.Nachotaka kusema ni kuwa taasisi inaweza kupata hati safi lakini kukawa na ubadhirifu mwingi tu umeripotiwa,hata changamoto za maji,elimu na afya zikawekwa ktk repoti za kisekta.
na mkurugenzi wa halmashauri!!Hivi hizo halmashauri za HAI, KARATU na KIGOMA zilikuwa zinaongozwa na akina nani vile????????????
halmashauri ni ya mbunge au Mkurugenzi?Halmashauri yangu ya Tunduma ni jipu, Mbunge Mwakajoka ( CHADEMA) unahusika hapa maana mwaka Jana ulikuwa Diwani safari hii Mbunge kwenye halmashauri hiihii.
Kwa hiyo uozo wote huu unaujua mwanzo mwisho, maana tenda za ushuru hapa mjini karibu zote zako kupitia majina ya jamaa zako, hasa huyo mpambe wako anaejilukana kwa jina la Issa.
Watu tukianza kuhoji unaanza kusingizia ukabila, safari hii tunaomba maelezo ya kutosha kuhusu huu ufisadi.
Nautafuta nitakupa,lakini upo tayari kusikia ya mauchafu ya serikali ya JPM kwenye report ya sasa. Just waitNaomba ule uzi wako wa ufafanuz, niwekee link
Na wakurugenzi wa halimashauri ambao ni watendaji wa serikali ndio maana rais kaagiza wasimamishwe kwani ni wateule wake. Ndio uzuri wa JPM anakuteua ukiharibu kwa heri. Hana mchezo na mtu.Hivi hizo halmashauri za HAI, KARATU na KIGOMA zilikuwa zinaongozwa na akina nani vile????????????
Kumbe hii ni ya 2016 ya zamani hiiNa wakurugenzi wa halimashauri ambao ni watendaji wa serikali ndio maana rais kaagiza wasimamishwe kwani ni wateule wake. Ndio uzuri wa JPM anakuteua ukiharibu kwa heri. Hana mchezo na mtu.
Ha ha ha nipo tayari Mkuu, usisahu kunikoti katika ule uzi, nakumbuka ulifafanua, hizi hati vizuri, nimetafuta katika thread zako nimeukosaNautafuta nitakupa,lakini upo tayari kusikia ya mauchafu ya serikali ya JPM kwenye report ya sasa. Just wait
Wakurugenzi na wakuu wa wilaya makada wa ccmHivi hizo halmashauri za HAI, KARATU na KIGOMA zilikuwa zinaongozwa na akina nani vile????????????
Tofauti kati ya hati mbaya na hati chafu ni nini?Halmashauri 47 tu zilizopata Hati zinazoridhisha
1.Arusha DC 2.Makambako TC 3.Butiama DC 4.Kahama TC 5.Arusha CC 6.Wanging’ombe DC 7.Kyela DC 8.Ushetu DC 9.Monduli DC 10.Buhigwe DC 11.Busokelo Dc 12.Msalala DC 13.Bagamoyo DC 14.Kakonko DC 15.Kilombero DC 16.Bariadi TC 17.Kibaha DC 18.Uvinza Dc 19.Kilosa DC 20.Itilima DC 21.Kibaha TC 22.Moshi MC 23.Morogoro MC 24.Busega DC 25.Temeke MC 26.Siha DC 27.Gairo DC 28.Singida MC 29.Dar es Salaam CC 30.Lindi MC 31.Ilemela MC 32.Ikungi DC 33.Kinondoni MC 34.Mbulu DC 35.Nyang’hwale DC 36.Mkalama DC 37.Chemba DC 38.Simanjiro DC 39.Mbogwe DC 40.Bumbuli DC 41.Mufindi DC 42.Kiteto DC 43.Mlele DC 44.Kaliua DC 45.Iringa DC 46.Tarime TC 47.Nsimbo DC
Halmashauri 105 zilizopata Hati zenye Mashaka
1.Meru DC 2.Kongwa DC 3.Bukoba MC 4.Kilwa DC 5.Ngorongoro DC 6.Mpwapwa DC 7.Muleba DC 8.Lindi DC 9.Kisarawe DC 10.Dodoma MC 11.Karagwe DC 12.Liwale DC 13.Mafia DC 14.Iringa MC 15.Kyerwa DC 16.Nachingwea DC 17.Mkuranga DC 18.Kilolo DC 19.Kibondo DC 20.Ruangwa DC 21.Rufiji/Utete DC 22.Ludewa DC 23.Kigoma DC 24.Babati DC 25.Ilala MC 26.Njombe DC 27.Moshi DC 28.Hanang’ DC 29.Chamwino DC 30.Njombe TC 31.Mwanga DC 32.Babati TC 33.Kondoa DC 34.Makete DC 35.Rombo DC 36.Serengeti DC 37.Bahi DC 38.Biharamulo DC 39.Same DC 40.Musoma DC 41.Rorya DC 42.Ngara DC 43.Magu DC 44.Bunda DC 45.Tarime DC 46.Missenyi DC 47.Misungwi DC 48.Musoma MC 49.Mbeya DC 50.Ulanga DC 51.Ukerewe DC 52.Mpanda TC 53.Rungwe DC 54.Morogoro DC 55.Geita TC 56.Mpanda DC 57.Chunya DC 58.Mvomero DC 59.Geita DC 60.Tunduru DC 61.Mbeya CC 62.Masasi TC 63.Bukombe DC 64.Songea DC 65.Mbozi DC 66.Masasi DC 67.Chato DC 68.Nyasa DC 69.Ileje DC 70.Mtwara DC 71.Sumbawanga DC 72.Shinyanga DC 73.Mbarali DC 74.Newala DC 75.Nkasi DC 76.Shinyanga MC 77.Momba Dc 78.Tandahimba DC 79.Sumbawanga MC 80.Kishapu DC 81.Meatu DC 82.Nanyumbu DC 83.Korogwe DC 84.Maswa DC 85.Bariadi DC 86.Mtwara MC 87.Korogwe TC 88.Nzega DC 89.Manyoni DC 90.Mkinga DC 91.Kilindi DC 92.Sikonge DC 93.Singida DC 94.Lushoto DC 95.Igunga DC 96.Tabora DC 97.Pangani DC 98.Muheza DC 99.Urambo DC 100.Tabora MC 101.Tanga CC 102.Handeni DC 103.Karatu DC 104.Hai DC 105.Kigoma/Ujiji MC
Halmashauri 3 zilizopata Hati chafu
1. Karatu DC 2. Hai DC 3. Kigoma/Ujiji MC
Halmashauri 1 iliyopata Hati Mbaya
Tunduma Town Council
· Hawa walificha vitabu 79 vya mapato
· Walificha hati za malipo(voucher) zenye thamani ya SHS.178,511,580
· Malipo ya SHS.17,158,500 hayakuwa na viambatanisho
· Hawakuandaa vitabu vya hesabu
Hati chafu haimaanishi ufisadi tu, wakati mwingine ni uzembe wa watendaji kuandaa ukaguzi kwa kutoweka vielelezo sawa sawa na wakati mwingine kushindwa kutoka maelezo ya kujitosheleza katika utekelezaji wa miradi. Pia tusisahau kutofautiana (Rigidity) kati ya wakaguzi na wakaguliwa katika maslahi wakati wa ukaguzi (kukomoa kwa kutolewa chochote na wakaguliwa) and vice versa kwa waliopata hati safi na za kuridhisha.Halmashauri 3 zilizopata Hati chafu
1. Karatu DC 2. Hai DC 3. Kigoma/Ujiji MC
Daah!!! Karatu na Hai kulikoni tena.
Hizi Halmashauri si zipo chini ya Chadema mbona kuna ufisadi wa kutisha.
Kwa hiyo unatetea tu Chama lakini uhalisia wa kinachotokea, wanaopaswa kibanwa/kulaumiwa specific unawajua? Au na wewe kalagabahu??; Vyama vitahusika tu kwa maana ya ufuatiliaji wa taarifa katika vikakao vya kamati za halmashauri kwani wanapaswa kupewa taarifa na watendaji kila robo mwaka kuijadili na kuchukua hata. Utekelezaji wa Kazi na miradi ni watendaji. How come tumlaumu kiongozi wa Chama au Mkuu wa nchi kwa wilaya yake kupata hati chafu?Acheni hizo nyie. Mbona mnailalamikia CCM kwa ufisadi kwani CCM ndio inafanya ukaguzi wa mahesabu ya Halmashauri na utendaji wa serikali?
Hivi hizo halmashauri za HAI, KARATU na KIGOMA zilikuwa zinaongozwa na akina nani vile????????????
Nimeamin wakurugenz hutoa pesa ndefu kutengeneza Hati zao
Kuna manspaa Moja humu et imepata Hati inayoridhisha wakati jamaa mahekalu ya kutosha ndani ya miaka mitatu tu....
Halmashauri inaongozwa na madiwani au Meya?!Zilikuwa chini ya upinzani CHADEMA ,then wanataka kuchukua nchi hawa watu............
Nilipiga kura kwa sababu ya baba Lowassa .....