Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,938
- 2,081
mpwapwa ingekosa hati yenye mashaka ningepiga picha mimi na wyfe za utupu kisha ningezirusha hapa jf!
Teh teh Halmashauri za Chadema hizoWatu!
Kumbe wewe ndio hujuwi hata maana ya Halmashauri. Halmashauri maana yake baraza la madiwani.Hati chafu kwa Halmashauri si swala la chama fulani. Wakurugenzi wanateuliwa na nani? Je hawa watumishi idara za pesa wanaajiriwa na chama? Tumekuwa tukiona madiwani wanaazimia kumfukuza mtumishi lakini wakuu wa Wilaya ambao ni ni makada wa CCM wanawakingia kifua hivyo ufisadi huu ktk Halmashauri ni mfumo wa utawala wa CCM.......naenda kupumuzika tuonane baadaye.
We jamaa umeishia langapi?Mkurugenzi ndo anaongoza Halmashauri.
Acheni hizo nyie. Mbona mnailalamikia CCM kwa ufisadi kwani CCM ndio inafanya ukaguzi wa mahesabu ya Halmashauri na utendaji wa serikali?Siku hizi jf imekuwa " sample space" ya kupima "intelligent quotient" ya Watanzania.Ukitaka kufahamu kiwango cha ukilaza wa Watanzania ingia jf.Kama wewe mwenye uwezo wa kutumia smart phone/Computor hivyo kukupa fursa ya kujielimisha,humfahamu mtendaji mkuu wa halmashauri,itakuwaje kwa mwanakijiji wa kawaida wa kikongono Rufiji au miumbu Kilwa? Ni lini Mbowe alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hai hadi ufikie mahali umtwishe zigo la hati chafu za Halmashauri ya Hai?
Reasoning ya kijinga kabisa kuwahi kutokea tangu mwaka huu uanze.Kinachonisikitisha watu humu wanaendekeza ushabiki wa siasa ebu tuangalie hali halisi ya huduma za kijamii katika halmashauri hizo je hizo zinazoonekana safi hali ya Elimu, Miundombinu, Afya N.K zikoje baada ya hapo ndio mje na hizo hoja zenu kwani ni wazi kuna halimashauri eti zina hati safi huku kila kitu ni kibovu Elimu hovyo, Afya Hovyo Miundombinu na maji hakuna eti leo hii zina hati safi hivi hiyo hati safi ina maana gani kwa wananchi wa maeneo hayo?
Tatizo lako ndugu mkaguzi unatoa ripoti huku mapenzi yako yakiegemea chama Fulani.hatutegemei uwe fair katika hili.kama Halmashauri zinazosimamiwa na Chadema zimefanya vibaya kuwa fair sema tu kuwa madiwani wameshindwa kusimamia fedha za umma.nyingine zitakuwa bla blaWakuu nawasoma kwa masikitiko makubwa sana.Sitaki kuwalaumu sababu ukaguzi ni weledi,wengi mnakosa ABC za mambo ya kikaguzi na uelewa wa utoaji hati kwa ujumla.Kuna expectation gap naliona.Pakikucha salama ntatoa ufafanuzi wa kuridhisha,katika hati safi,yenye mashaka,chafu na mbaya ni vitu gani huzingatiwa.Mnayoyataka yawe yanaweza yasionekane kwenye hati lakini yakawepo kwenye Barua ya Menejimenti inayotolewa na CAG.Nachotaka kusema ni kuwa taasisi inaweza kupata hati safi lakini kukawa na ubadhirifu mwingi tu umeripotiwa,hata changamoto za maji,elimu na afya zikawekwa ktk repoti za kisekta.
Zilikuwa zinaongozwa na CCM zote hizo kwani karatu ilikuwa inafanya vzr lkn vigisuvigisu vikaipokaWatu!
Acha porojo bana sema hivi halmashauri zinazoongozwa na upinzani Hai na Karatu zimepata hati chafu.Wakuu nawasoma kwa masikitiko makubwa sana.Sitaki kuwalaumu sababu ukaguzi ni weledi,wengi mnakosa ABC za mambo ya kikaguzi na uelewa wa utoaji hati kwa ujumla.Kuna expectation gap naliona.Pakikucha salama ntatoa ufafanuzi wa kuridhisha,katika hati safi,yenye mashaka,chafu na mbaya ni vitu gani huzingatiwa.Mnayoyataka yawe yanaweza yasionekane kwenye hati lakini yakawepo kwenye Barua ya Menejimenti inayotolewa na CAG.Nachotaka kusema ni kuwa taasisi inaweza kupata hati safi lakini kukawa na ubadhirifu mwingi tu umeripotiwa,hata changamoto za maji,elimu na afya zikawekwa ktk repoti za kisekta.
Nahisi kaziona hizo kwa sababu zina hati chafu .We umeona hizo tu??
Muhasibu na Mkurugenzi nao ni ukawa dah...!Halmashauri yangu ya Tunduma ni jipu, Mbunge Mwakajoka ( CHADEMA) unahusika hapa maana mwaka Jana ulikuwa Diwani safari hii Mbunge kwenye halmashauri hiihii.
Kwa hiyo uozo wote huu unaujua mwanzo mwisho, maana tenda za ushuru hapa mjini karibu zote zako kupitia majina ya jamaa zako, hasa huyo mpambe wako anaejilukana kwa jina la Issa.
Watu tukianza kuhoji unaanza kusingizia ukabila, safari hii tunaomba maelezo ya kutosha kuhusu huu ufisadi.
Tukisema ccm ni sawa na jini watu wanabishaZilikuwa zinaongozwa na CCM zote hizo kwani karatu ilikuwa inafanya vzr lkn vigisuvigisu vikaipoka
Jamani wabunge sio watendaji kazi yao Ni kutunga Sheria na kuisimamia serikali kiutekelezaji na sio usimamizi wa jiji au halmashauri moja moja
CHAGADEMAHivi hizo halmashauri za HAI, KARATU na KIGOMA zilikuwa zinaongozwa na akina nani vile????????????
Wameaanza kuongoza halmashauri mwaka gani na mahesabu niya mwaka gani?Si huwa wanasema wanaongoza hizo halmashauri?