Zitambue Halmashauri 105 zilizopata hati zenye mashaka

Zitambue Halmashauri 105 zilizopata hati zenye mashaka

Halmashuri ya Kyela - Mbunge : DK HARRISON MWAKYEMBE
Halmashauri ya Busokelo -Mbunge : Professor Mark Mwandosya
Hawa ni marafiki , pia ni wachukia ufisadi. Mwanga wao umeakisi kwenye riport ya halmashauri zao.
Semeni wabaya wao, lakini hawa watu ni marole model wangu!!!! Bravo brothers. Tukutane kule kyela members
 
Zilikuwa chini ya upinzani Chadema ,then wanataka kuchukua nchi hawa watu............
Nilipiga kura kwa sababu ya baba lowassa .....
Unaweka comment wako umeshalinganisha au unakuja tu mbio huku? angalia kuna jumla ya halmashauri ngapi kwenye hilo kundi>>
 
Hehehe Magu akianza kutumbua
Linakuja jitu eti KUB na kuropoka !!!
 
Halmashauri yangu ya Tunduma ni jipu, Mbunge Mwakajoka ( Chadema) unahusika hapa maana mwaka Jana ulikuwa Diwani safari hii Mbunge kwenye halmashauri hiihii.

Kwa hiyo uozo wote huu unaujua mwanzo mwisho, maana tenda za ushuru hapa mjini karibu zote zako kupitia majina ya jamaa zako, hasa huyo mpambe wako anaejilukana kwa jina la Issa.

Watu tukianza kuhoji unaanza kusingizia ukabila, safari hii tunaomba maelezo ya kutosha kuhusu huu ufisadi.

Kwa hiyo Diwani ndiyi Mkurugenzi wa Mji siyo?Kulikwa hakuna Diwani wa CCM?
 
Kuna Hati safi za Halmashauri fulani hivi zina walakini.Baada ya Majipu ya akina Kabwe kutumbuliwa halafu tunaambiwa eti kuna hati safi...............Duh
 
Halafu wakurugenzi wakisimamishwa kazi kupisha uchunguzi,makuwadi na madalali wa mafisadi wanakimbilia kubweka kwenye vyombo vya habari.

WTF.
 
Kwa hiyo Diwani ndiyi Mkurugenzi wa Mji siyo?Kulikwa hakuna Diwani wa CCM?

Mkuu hata kama msalaba unamhusu Mkurugenzi ila mbunge wangu hiki kikombe lazima kimhusu.

Tuache kutetea kisa yupo chama chetu.!
 
Zilikuwa chini ya upinzani Chadema ,then wanataka kuchukua nchi hawa watu............
Nilipiga kura kwa sababu ya baba lowassa .....
Ndiyo maana zimegundulika maana wabunge wao hawakuwa tayari kuficha uchafu kama zile za CCM zilizoficha uchafu
 
Mkuu hata kama msalaba unamhusu Mkurugenzi ila mbunge wangu hiki kikombe lazima kimhusu.

Tuache kutetea kisa yupo chama chetu.!

Mbunge hana mkono hapo.Uliza wahasibu wa kwenye Miji na Halmashauri watakwambia kinachoendelea huko.Diwani ni wapita njia tu hawana hata say,labda kama ni wa CCM,tena wa upinzani hata kukemea anaonekana ni ADUI.
 
Naona Halimashauri nyingi zenye Hati za kulizisha ni Halimashauri mpya mpya.. Nimeona mpaka Halimashauri yangu ya Lindi DC Kuna Hati yenye Mashaka
 
Mbunge hana mkono hapo.Uliza wahasibu wa kwenye Miji na Halmashauri watakwambia kinachoendelea huko.Diwani ni wapita njia tu hawana hata say,labda kama ni wa CCM,tena wa upinzani hata kukemea anaonekana ni ADUI.
Jamani wabunge sio watendaji kazi yao Ni kutunga Sheria na kuisimamia serikali kiutekelezaji na sio usimamizi wa jiji au halmashauri moja moja
 
MBOYE MBOYE AJIUZULU, ALMASHAURI ANAYOISIMAMIA YEYE MWENYEKITI WA CHAMA, INAPATA HATI CHAFU CHAFUUUUUU CHAFUUUUUUUU TANZANIA NZIMA??? KUMBE NI KELELE KELELE HAMNA KITU HAPO, AU MARA NYINGI UNAKUWA DAR KWA SHUHULI ZA CHAMAAAAAAAAAAA???

Siku hizi jf imekuwa " sample space" ya kupima "intelligent quotient" ya Watanzania.Ukitaka kufahamu kiwango cha ukilaza wa Watanzania ingia jf.Kama wewe mwenye uwezo wa kutumia smart phone/Computor hivyo kukupa fursa ya kujielimisha,humfahamu mtendaji mkuu wa halmashauri,itakuwaje kwa mwanakijiji wa kawaida wa kikongono Rufiji au miumbu Kilwa? Ni lini Mbowe alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hai hadi ufikie mahali umtwishe zigo la hati chafu za Halmashauri ya Hai?
 
Hiyo ya Tunduma nimeipenda aiseee yani ni noma...!
 
Back
Top Bottom