Zitakuja nyakati tutatamani Magufuli arudi hata siku moja madarakani

Pamoja na Mabaya waliyofanya Wakoloni lakini kwa CCM Watu wanaona bora ya Ukoloni wa Muingereza kuliko CCM. Wanao Mkubali Jiwe ni Wale wanaonufaika na Awamu yake,
Mfano, Sidhani kama Mtoto wa Lissu anaweza kukubaliana na hoja yako.
 
Labda wapo radhia watoto wao wewe kuhudumiwa na magufuli wakiketi nyumbani bila kazi

Wajinga sana hawa
Kuna kundi jingine kubwa sasa hivi linazaa hovyo huko bila kuwa na malengo halafu mwisho wa siku nao wanaishia kumlaumu JPM..

Awamu hii hakuna cha dezo, bila kufanya kazi halali hakuna hela tena naomba aongezewe miaka 5 ikamilike 15 na imani tutapata kizazi cha wachapakazi, achana na hiki kilichokuwa kimezoea dezo muda wote katika awamu zilizopita..
 
Fanya Kazi kwa bidii uache kulalam8ka
Serkali inakujenga mazingira mazuri
Kuchapa kazi Hakuna asiyependa kama mazingira Mazuri yakiwekwa ili MTU aweze kufanya kazi.Kaa nafasi ya wasio na ajira mtaani baada ya Sera za Kusomesha watu no
 
Rais hakubariki mtu apigwe risasi
Ndio maana alitoa pole na kuagiza uchunguzi ufanyike

Matusi yatakusaudia?
Nani anae tamani kuona mbunge anapigwa risasi mchana kweupe na watuhumiwa hawakamatwi,huu utawala ni wakikatiri sana na ni wakisee,,,,Pamoja na wewe mtoa post ni museee...!!!
 
Usikae kufikiri kila mmoja anawaza mambo zako kichwani

Sisi ni wazalendo tupo imara kupigania wapotoshaji washindwe km wewe

Kazi ya magufuli inatambulika
 
Back
Top Bottom