Ziraili wa gizani

Robo tatu ya mwaka watu waliopotea kwa kuripotiwa ni 174 huku Dar ikiongoza kwa mkoa wa Ilala, huku wanaume wakizidi kwa mbali
 
Mshana jr .inaonekana wewe ni wa kitambo sana.kwa mambo haya sio poa kaka.unafanyia kazi wapi kaka nkutafte maana ........
 
Mshana jr .inaonekana wewe ni wa kitambo sana.kwa mambo haya sio poa kaka.unafanyia kazi wapi kaka nkutafte maana ........
Niko mochwari kaka karibu kwa huduma bora kabisa[emoji16][emoji1545]
 
Hapo kwenye kuitwa na kuitika naona panategemeana na nguvu za mtu kiroho, au niite jicho la tatu, au niseme machale.

Mara nyingi huwa tunasikia sauti ndani zetu zikitutaka tufanye jambo fulani, au tusifanye, naona kwa upande wa hao jamaa ulioweka picha zao hapo, kama wao wakikuita kwa namna ulivyoonesha mf. kuwaaga rafiki zako, naamini kama utakuwa na hizo nguvu nilizoandika pale juu, hutaitika, kwangu suala la kuitwa na kuitika linategemeana na nature ya mhusika.
 
Mchawi mstaafu inawezekanaje Kamera zikapiga picha ya viumbe kama hivyo vya Kiroho wakati #oho haina Mwili na haiwezi kukamatwa na Kamera za Kimwili?
 
Niko mochwari kaka karibu kwa huduma bora kabisa[emoji16][emoji1545]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]japo umemjibu ukwel ila kwahili jibu lako sidhani kama atakuwa na hamu tena
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]japo umemjibu ukwel ila kwahili jibu lako sidhani kama atakuwa na hamu tena
Aje tu hakuna shida kabisa.. Wafu hawana time na mtu [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…