Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Ukitaka watoto wafahamu mila wapelekeni vijijini from time to time!Kule ataokota neno moja leo..lingine kesho na mila atajifunza!Tatizo siku hizi watu wanazaliwa mjini..wanakulia mjini hata kwenda kusalimia tu kijijini hawajawahi!Kwahiyo hata kwenye ndoa za mchanganyiko mila na desturi zinaweza kufunzwa sana iwapo watu wataacha kujifanya WAMJINI!!Ukienda kijijini mara mbili tatu lazima utajifunza hata kusalimia na mila nazo hazitakupita!!Nawakilisha!
Sioni tofauti yoyote..muwe kabila moja au tofauti nini kitakachobadilika zaidi ya kuongea lugha moja na kwenda likizo kwenye mkoa mmoja?Popote utakapopenda we penda achana na mambo ya ukabila!Ahsante. Lakini, kuna faida kuoana kabila moja?
Bro hamna faida yeyote ile. Nakuhakikishia, hayo mambo yamepitwa na wakati!...Lakini, kuna faida kuoana kabila moja?
Sioni tofauti yoyote..muwe kabila moja au tofauti nini kitakachobadilika zaidi ya kuongea lugha moja na kwenda likizo kwenye mkoa mmoja?Popote utakapopenda we penda achana na mambo ya ukabila!Watu wanaotoka kwenye familia moja tu hawafanani ndo ije kuwa kabila!!
Mi ni nyakyusa, niliwauliza dada zangu 6 nyakat tofauti kama wangependa kuolewa na wanyakyusa.
Wote walisema hawatak kuolewa na wanaume wa kabila lao, labda itokee tu wameshikwa na MAPENZI MOTOMOTO lakin ktk hali ya kawaida watakwepa ku-date na wanyakyusa.
Kama mnataka kuongea kitu cha siri si muende faragha!Kwanza sio ustaarabu kuongea lugha wenzako wasioijua mkiwa mmejumuika pamoja!Itaneni pembeni myamalize!Hiyo nyingine nakubaliana nayo...japo haitoshi kutangaza ndoa!Ahsante kwa kutaja faida mbili.
1. Kuongea lugha moja ni faida kwani mnaweza kuyaongea mambo yenu ya siri bila majirani kujua undani wake.
2. Kwenda mkoa mmoja ni faida kiuchumi. Mmoja akienda likizo anazitembelea familia za pande mbili.
Ahsante. Lakini, kuna faida kuoana kabila moja?
kuolewa na wakabila moja if umempata wa kukupenda na wakukupenda kutoka kabila lenu bas poooa inanoga cz mtakuwa mnaonge akinyumbani tu ..wambea wanabak macho kodo kodo tu...mkienda likizo mwaenda wote na mambo mengne pia mtakuwa mnaonmge alugha moja(mnaelewana)miiko,na desturi zote
Faida ipo kwenye gharama ya usafiri fikiria wewe mzaliwa wa Lindi upo kikazi Songea umepata mchumba wa Bukoba siku za sikukuu inatakiwa mwende kuwatembelea wazazi hapo ndugu yangu nauli ya Lindi- Bukoba kwenda na kurudi na mazaga zaga kwa wakwe ni maumivu
Nakubaliana nawe.