HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,318
- 103,580
nenda mzinga makao makuu ya jeshi wao wana bei ndogo kiasi au nenda tanganyika arms mtaa wa samora ingawa pale bei zao zimesimama kiasi kwa beretta.... au waweza nunua second hand kwa mtu afu ukafata taratibu zingine
ukishanunua unapewa risiti na fomu
utaanzia serikali ya mtaa.. hapo urefu wako tu inaweza chukua hata saa 1 tu ukapewa mhtasari wa kikao...... baada ya hapo polisi........... wilayani...........
mwisho wa siku utaipata mara nyingi ndani ya miezi 2 unakua ushaipata maana vikao vya usalama vya wilaya hukaa mara 1 kwa miezi 2
unaweza nisahihisha