Loyal_Merchant JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 623 Reaction score 268 Apr 11, 2012 #1 nahitaji software ya kufungua mafile yenye extension ya .zip kwa simu yangu ya android gingerbread kwani imekuja bila hyo software. Na pia ningesaidiwa wwebsite ambayo ningedownload software mbalimbali za android ntashukuru sana.
nahitaji software ya kufungua mafile yenye extension ya .zip kwa simu yangu ya android gingerbread kwani imekuja bila hyo software. Na pia ningesaidiwa wwebsite ambayo ningedownload software mbalimbali za android ntashukuru sana.
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,748 Reaction score 16,858 Apr 11, 2012 #2 try GetJar | Mobile | Waptrick
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,065 Reaction score 1,035 Apr 11, 2012 #3 Tumia Google play store hiyo hiyo kwenye simu
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,955 Reaction score 22,421 Apr 11, 2012 #4 https://play.google.com/store/search?q=zip jichagulie hapo