Jamani kipindi hiki cha pasaka ningefurahi kuonana na binti huyu ,hebu niombeeni ndoto hii itimie
tafadhari zion daughter ni pm unipe namba yako japo nisikie tu sauti yako
i am watching you!
Are you a watchman...!?
Asijekuta ni dume.Lkn mie nishakuwa taken tayari na stevoh .Shahidi Baba VHahahaha......jf raha sana lol
We mkuzi una uhakika Zion Daughter ni binti????..... Usijemwona ukatoka nduki bure
bishanga mpenzi mtarajiwa.......Are you a watchman...!?
mmmmmmhhhh.....my son au mwengine?
najipitilisha tu hapa
Hahahaha......jf raha sana lol
We mkuzi una uhakika Zion Daughter ni binti????..... Usijemwona ukatoka nduki bure
bishanga mpenzi mtarajiwa.......
Dah.. jamani mkuzi mbona umekataa kunimbia jina lako la ubatizo!?? Ningeweza kukupm lkn mpaka niombe ruhusa kwa baba Mwita Maranya..mimi mtoto wa geti kali
Avatar ni ongo sanaHahahaha......jf raha sana lol
We mkuzi una uhakika Zion Daughter ni binti????..... Usijemwona ukatoka nduki bure
whaaaaaaaaat??