J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 693 Reaction score 1,164 Apr 28, 2021 #1 Kuwa makini unapochagua mtu wa kumuomba ushauri. Zingatia uzoefu wa huyo mtu kwenye jambo husika na ukaribu mlionao Kuwa wazi juu ya unachotaka kushauriwa, elezea vizuri chanzo cha tatizo lako Ikiwezekana jaribu kutatua tatizo mwenyewe kwanza, kisha umweleze mtu unayemuomba ushauri mahali ulipokwama ili akusaidie kutokea hapo
Kuwa makini unapochagua mtu wa kumuomba ushauri. Zingatia uzoefu wa huyo mtu kwenye jambo husika na ukaribu mlionao Kuwa wazi juu ya unachotaka kushauriwa, elezea vizuri chanzo cha tatizo lako Ikiwezekana jaribu kutatua tatizo mwenyewe kwanza, kisha umweleze mtu unayemuomba ushauri mahali ulipokwama ili akusaidie kutokea hapo