1. Mkeo si mkamilifu, msamehe
2.mkeo ndo UTI wa mgongo wako, usiuvunje
3.Mkeo ni timu, mthamini
4.mkeo ni kito adimu, mtunze
5.Mkeo ni rafiki yako, muweke karibu yako
6 mkeo ni furaha yako, mnawirishe
7.mkeo anatakiwa kuwa Bora, mchsngamkie,
8 mkeo ni sehemu ya mwili wako, msitawishe
9 Mkeo sio ibilisi, usimpige
10 Mkeo sio mzuri tu kitandani, mshirikishe kila jambo lako
YAFANYE HAYO IKIWA MKEO ATAKUWA NA HAYA MAMBO 10
1.Anamuabudu Mungu (anafanya Ibada)
2 Anakupenda
3. Anakuheshimu
4. Anakuthamini
5 Anakujali
6. Anakupambania
7. Maumivu
8. Kauli yako kwake ni amri
9 Awaheshimu ndugu zako Kwa kila hali
10. Hakutukani matusi madogo wala makubwa yaani anathamini furaha yako